Hakuna uchawi wala ndumba.
Hatuwezi kupata maendeleo overnight.
Tusitegemee maendeleo yatufuate nyumbani.
Ni bidii zetu kwa pamoja ndo zitatutoa hapa tulipo.
Usilaumu chama kwa kuwa ni wewe ndiye mdau na ndiye uliyekichagua.
Navyoamini mimi ni kwamba watanzania ni waoga wa kuthubutu.
Sasa kwa maana hiyo, ni vigumu kupata mabadiliko chanya ambayo watu wengi wanaota yawe.
Mtanzania ukipanga naye deal leo, kesho unakuta ame cansel bila hata kutoa mshindo nyuma.
Mtanzania anapenda raha,watu wanataka kujilinganisha na marekani, uchina na ulaya, pasi kujua hawa jamaa walianza kitambo + juhudi + kujitoa + uzalendo.
Yaani tukiendekeza tabia zetu za mtanzania, hatufiki popote, tutaishia kulaumu mizimu tunayoifuga wenyewe.