Maisha bora kwa kila Mtanzania

Maisha bora kwa kila Mtanzania

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1408678285283.jpg
 
Ndiyo mshana jr, atakuja sasa hivi kutoa mipovu yake ya kitunguu saumu hapa.

Siku hizi kabadilika mno tangu amalize mfungo toba ya Ramadhan kaitendea haki
Akiendelea hivi hata pepo ataiona
 
Last edited by a moderator:
Nadhani haya hapa ndiyo hasa maisha bora kwa kila mtanzania:-
 

Attachments

  • Maisha bora kwa kila mtanzania.jpg
    Maisha bora kwa kila mtanzania.jpg
    58.5 KB · Views: 495
Wakati watoto wetu wanakosa hata huduma za msingi za elimu, yeye 'anatanua' ('anakula bata') na warembo..!!!

3.jpg



Kikwete+na+wanawake.jpg
 
By SHIEKA
"Anayesema serikali haijafanya kitu tangu uhuru, hana macho!"

By mshana jr
Cc FaizaFoxy

By SHIEKA
Ndiyo mshana jr, atakuja sasa hivi kutoa mipovu yake ya kitunguu saumu hapa.


Siku hizi kabadilika mno tangu amalize mfungo toba ya Ramadhan kaitendea haki
Akiendelea hivi hata pepo ataiona

Kwani kuna uhusiano gani kati ya mada iliyopo hapa na FaizaFoxy?
Kumbe hata akikaa kimya huwa mnamchokoza ili aseme...
 
Back
Top Bottom