Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania!!!

Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania!!!

Hepatis B

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
222
Reaction score
206
247573_149121915161664_2608329_n.jpg

​
 
hizi zilikuwa swaga miaka ya mwanzo baada ya uhuru,miaka 51 baada ya uhuru raisi unafungua kisima harafu unaona ufahari?
 
tusilaumu jamani hii ndo miradi mikubwa kabisa ndani ya nchi yetu.asipofungua kisima atafungua kipi kingine? "mkulu na huku nyumbani kwangu nimechimba njoo umtwishe mke wangu ndoo"
 
Pongezi M/Kiti wangu. Haya ndiyo maendeleo tunayoyataka. Wape maji safi hata kama ni kwa leo tu maana kesho hiyo pump inang'olewa na kupelekwa kijiji kingine ukafungue tena huko.
Mkuu, nimesikia hata hiyo ndoo ilinunuliwa special kwa leo tu, kesho inapelekwa kijiji cha 5 kutoka hapo. Kweli CCM imekwisha, miaka 55 ya uhuru, miaka 37 ya kuzaliwa ccm, fahari ni maji ya kisima cha pump ya mkono, hii ndio fahari, Rais wa nchi tajiri hivi, yenye madini ya kipekee kama vile Tanzanite, tumekwisha. Mmemfedhehesha Mtukufu Rais. Hiyo ilikuwa ifunguliwe na mwenyekiti wa kitongoji hicho. Hayo ndiyo mawazo na maoni yangu.
 
Back
Top Bottom