Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Habari kutoka Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi, Dodoma, zinaeleza kuwa mwananchi mmoja aliyekipigia CCM kura katika Uchaguzi Mkuu uliopita amejifyeka nyeti zake kutokana na kile alichokieleza kuwa "ugumu wa maisha".
Habari hii ni ya kusikitisha kwani haiakisi kauli-mbiu ya CCM ya kuwaletea wananchi maisha bora.
Ninampa pole mwananchi huyu na kumkumbusha kuwa ipo siku atatamani kunyofoa moyo wake kwani kama CCM na mafisadi wataendelea kuwa madarakani, maisha ya watu hayataboreka kamwe.
Tukafanye kazi.