Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,747
Wanabodi naomba mwenye experience ya maisha bila mkopo chuo yapoje ili nipate angalau picha itakuwaje kwa hawa vijana ambao dalili za kukosa mkopo zimekwisha anza kujionesha.
Nimeileta hii thread kwa ajili ya vijana wa first year wapate walau picha mimi ni mkongwe mwaka wa tatu na nina mkopo nahitaji watu walioishi chuo bila mkopo watoe experience yaokwa hawa vijana ...kumbe sio wewe jamaa ila life ni simple sana kama wazaz wako au mlezi wako akiwa na pesa za kutosha kukupatia ...utaenjoy kuliko hata ambao wana mkopo ....sometime kuna kupanga foleni za kusain bumu kwaio kama hauna mkopo hautapoteza muda kupanga foleni mara sijui kuwahi chuo kwenda kusaini bumu na usiposaini hupewi
Secondari unakula palepale na hakuna mahitaji mengi shati mbili unavaa miezi sita hauwezi kulinganisha na chuoKm ulisoma sec billa mkopo basi tayari unayo experience tosha.
Duh!Kuna possibility kubwa ya kuolewa
Mkuu usishangae tulia mpaka november katikati utanielewa maana yanguDuh!
Vipi baadaye ulirudi tena?ni magumU mno maanA binafsi nilikomaa nayo kwa semister mojA then nikaamuA nirudI kitaA lakn kama nyumbani mbogA sabA unaweza ukasoma fresh
Kwa kweli siipatii picha hali ilivyo huko!Mkuu usishangae tulia mpaka november katikati utanielewa maana yangu
Wataongea wakizidiwaKwa kweli siipatii picha hali ilivyo huko!