Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,557
- 8,316
- Thread starter
- #21
Duh! Mkuu mbona hii habari ya zamani sana na imeshaletwa humu mara kadhaa enzi hizo.
kwa hiyo ulitaka isiletwe? au unafikiri kila mtu humu jukwaa ni wazamani!.
yaani wewe unashindwa kuelewa hii ni zaidi ya habari! hili ni somo na kujifunza hakuna mwisho