Maisha: Baba huyu maskini hakusita kumsupport mwanae katika mahafali

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,551
Reaction score
8,310
This poor farmer supported his son through college. On graduation day, the son said his father was his biggest pride.
ImageUploadedByJamiiForums1470125025.113861.jpg
 
huyo graduate nae ..hata kuvalisha baba yake vizur kashidwa hapo ni kam anamdhalilisha tu mzee wa watu...
 
Walipiga wakiwa nyumbani, Si unajua zile mbwembwe zetu tukisha graduate tunaweza kuvaa majoho hadi siku mbili tukitembea nayo mitaani.

BTW ni true story ya kijana wa Kithailand aliyelelewa na Baba yake baada ya mama yake kufariki, na baba kujikongoja kwa kila hali na mali kuhakikisha kijana wake anapata Elimu. Jamaa alisoma katika mazingira magumu ambayo hakuyategemea kama angefika hapo alipo hivyo akaamua kupiga picha na baba yake wakiwa katika hali hiyo huku akitoa ujumbe kuwa kila jambo linawezekana.
 
Kuna shida kati ya wote hawa wawili
Kwa namna flani kujana yuko sawa kuonyesha dunia, jamii kuwa inawezekana
Kuna waliobarikiwa kupitia huo Ujumbe wa picha kwamba inawezekana
Hayo mengine unayoona ni wewe usiye kwenye hiyo stage ndo unayaona
 
tatizo liko wapi kwani?AU udhalilishaji uko wapi?mi naona mzee yuko kishamba zaidi.
 
Kwa namna flani kujana yuko sawa kuonyesha dunia, jamii kuwa inawezekana
Kuna waliobarikiwa kupitia huo Ujumbe wa picha kwamba inawezekana
Hayo mengine unayoona ni wewe usiye kwenye hiyo stage ndo unayaona
mbere ufukara hauwakilishwi na uchafu, uchafu ni tabia
Wengi tumekulia maisha ya kifukara lakini siku maalum kama hizi tulijitahidi kuonyesha kujali japo kwa kuoga na kuvaa nguo safi hata kama zimechanika na zina viraka lakini ni safi
Vijijini watu wengi ni fukara na hata Ukiangalia nyumba zao nguo zao na mali zao wanazomiliki utajua wazi kuwa ni fukara...lakini ni WASAFI
 
mzee ametoka shamba...na hapo sio chuoni ni nyumbani kwao mkuu ....
 
mbere ufukara hauwakilishwi na uchafu, uchafu ni tabia
Wengi tumekulia maisha ya kifukara lakini siku maalum kama hizi tulijitahidi kuonyesha kujali japo kwa kuoga na kuvaa nguo safi hata kama zimechanika na zina viraka lakini ni safi
Vijijini watu wengi ni fukara na hata Ukiangalia nyumba zao nguo zao na mali zao wanazomiliki utajua wazi kuwa ni fukara...lakini ni WASAFI
Point taken.
 
Duh! Mkuu mbona hii habari ya zamani sana na imeshaletwa humu mara kadhaa enzi hizo.
 
Nazungumzia dhana nzima ya mada...umaskini/ufukara unapohusishwa na uchafu

hakuna sehemu umaskin umehusishwa na uchafu, umaskini ni umaskini na uchafu ni tabia. hapa tunajadili umaskini wake na jinsi alivyomsupport mwanae. sasa kama anatabia zingine kama uchafu, uzinzi, uongo hiyo sio mahala pake kwa sasa bali wewe ndo unahusisha na kusingizia mtoa mada.
 
Back
Top Bottom