Uchaguzi 2020 Maisha baada ya uchaguzi yameanza

Ni kweli lakini je baadhi ya mawakala wanaodai kufanyiwa fujo je hata kama vyama vyao vimetimiza wajibu inakuwaje.
Ongezea mawakala walioondolewa vituoni kwa nguvu na wenye mamlaka bila kusahau makada wa chama kile waliopora masanduku ya kura na kutoweka nayo vituoni pasi kukamatwa!!! Achilia mbali "zile kura za maruhani!"
Nasubiri kuona utendaji wa hawa wabunge wa hisani na maelekezo kwa watanzania...
 
Wakuu wa nchi siye tunaochukuwa masomo ya ukubwani kwa njia ya mtandao tuna siku ya pili leo tunashindwa kupata masomo kutoka kwa walimu wetu. Chonde chonde msituharibie elimu yetu ya lala salama
Ila Umbea na Unafki unauweza kuufanya ukapata access vzr kbs... Ila ya Muhimu hayo ya Elimu huwez kuyafanya?

Chadema mnaakil kwel?
 
Mambo hayajaisha. Tunamsubiri kamanda lissu atuamuru kuingia barabarani tukapambane japo wengi hatujui tunaingia barabarani kufanya nini na kwa sababu gani
 
Mambo hayajaisha. Tunamsubiri kamanda lissu atuamuru kuingia barabarani tukapambane japo wengi hatujui tunaingia barabarani kufanya nini na kwa sababu gani
Lissu hana mkakati. Endelea na shughuli zako tu. Maisha lazima yaendelee.
 
Mambo hayajaisha. Tunamsubiri kamanda lissu atuamuru kuingia barabarani tukapambane japo wengi hatujui tunaingia barabarani kufanya nini na kwa sababu gani
Acheni fujo kila mtu ajikite kujiletea maendeleo mwenyew wazaz wanakutegemea ww mm nachukua zangu faru John nalala home naimima taratibu kabisa
 
Wakuu wa nchi siye tunaochukuwa masomo ya ukubwani kwa njia ya mtandao tuna siku ya pili leo tunashindwa kupata masomo kutoka kwa walimu wetu. Chonde chonde msituharibie elimu yetu ya lala salama😭
Wewe kibibi kizee bado unasoma?? Kwa taarifa yako tu Zanzibar Rais ni Mwinyi na Zitto amepigwa chini Kigoma.
 
Back
Top Bottom