Maimatha Jesse afunga ndoa ya siri

siku izi simskii skii sana, kapotelea wapi? au ni majukumu ya kifamilia?
 
si jamaa yake kafa mda c mrefu? well ni uhuru wake ku move on na maisha yake but wasnt that too short tio move on au ndo tuseme alikua na courage kubwa ya ku move on?
kafunga ndoa na jamaa flani hv ni askari wa upelelezi wa kituo cha kati..ila jamaa kaoa na ana mke...hawa dada zetu hawa hadi inashangaza..
 
si jamaa yake kafa mda c mrefu? well ni uhuru wake ku move on na maisha yake but wasnt that too short tio move on au ndo tuseme alikua na courage kubwa ya ku move on?

Jamani c kwamba alipofariki PDidy walikuwa weshatengana?! Nway ni kweli amefunga ndoa (arusi) ya siri ingawaje sherehe zao zile za kibao kata nadhani na sendoff macelebs walikuwepo.

Nawatakia maisha mema na ajaaliwe furaha ya ndoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom