Nakumbuka wakati nakua nikisikia neno MKE WA MTU auto akili yangu inaleta picha ya mwanamke mmoja anaejiheshimu, na ndo kweli ilikua hivi ila siku hizi sasa hao wake za watu(sio wote thou wengi) hawana tofauti sana na machangu au wale wanawake waliozibuka,,, hivi mtu mzima ulioelewa UNAANZAJE KUCHAMBANA NA MA FAKE ID ya huko IG? Maana hizo team zote zinaongozwa na watoto wa sekondari sijui, maana mtu unapata wapi muda wa kua online 24/7.. mke wa mtu maana yake umebeba famila tatj yaan reputation yako inakua ya wazazi wako,wazazi wa mume wako na familia yako.. MAIMATHA U ARE VEERRY POOR EXCUZ OF A WOMAN