SAWEBOY
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 241
- 173
Wakuu wana JF,
Hivi huyu celebrate wetu, mtoto K'ndoni pale, ni yeye kweli au anatumia mchina siku hizi? Hivi mnauonaje unene alionao kwa sasa maana tofauti sana na alivyokuwa pale EATV, au maana toto ametoka ile mbaya na bonge ya jimama! mliokuwa siku ya Kili Music Awards pale ndani mtakuwa mashahidi.
Mwenye picha current atuletee hapa jamvini! au anatumia ...... hahaha!