Albadili ya waislam imeanza kufanya kazi kwa manjiHawa Waislamu hawana kazi..Al Badrei tu bas..what else do they know? becuase lack of education
ashasomewaga long ndo maana kaandamwa na mabalaaaa
Hakuna tatizo lolote ktk hii habari, wewe vilevile sio makini kwani ulipaswa pia kuangalia hii habari ni Issue ya tarehe gani (Oct 8,2009)Hawa waandishi wawili wameshirikiana kutuonyesha kuwa hawako makini, John Magufuli waziri wa ardhi imerudiwa mara kadhaa,na mhariri akapitisha ichapwe! kazi tunayo!!