Maigizo ya wamama wa Urambo kuhusu maji

Maigizo ya wamama wa Urambo kuhusu maji

Ivi JPM alitoka chama gani vile? Sasa unamaanisha ile miaka kabla ya JPM ilipotea bure? Au miaka hiyo serikali ilikuwa inaongozwa na UDP?
JPM ni ccm, usiwe boya kadri tunavyoishi mahitaji yanaongezeka hivyo wakifikisha asilimia 100. Ipo siku hiyo asilimia mia itaonekana imepungua kutokana na idadi ya watu kuongezeka therefore lazima kuongeza kiwango cha upatikanaji
 
Nyeto moja tu ingeliepusha Taifa na utopolo kama huu!
 
Ogopa sana watu wanaopenda kujiita dokta,profesa,mzalendo,mnyonge,mfianchi,kada,komredi.
Utapeli mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa...ila pia watu wanaojiita ifuatavyo...kamanda, people's, tumejitambua, ukombozi, Hawa wote wana vimelea vya usaliti, ni wanafiki wakubwa
 
Tatizo la maji katika wilaya ya Urambo siyo kubwa sana ,Urambo karibia kila nyumba watu wamechimba visima ,sema kutokana na geologia sema kuna baadhi ya maeneo maji yana chumvi but kuna maeneo maji ni ya kawaida ,maji ya kawaida dumu la Lita 20 ni sh 250 ,pia mradi wa maji ya Ziwa Victoria umeshafika Tabora hivyo kuna mpango mkakati wa kuleta hadi Urambo ,hao waliojitokeza na ndoo ni wanafiki wakutupwa ,huwezi kufananisha Urambo na zile sehemu ambazo akina mama wanaamka usiku kisaka maji ,
 
Back
Top Bottom