Maigizo ya “MFUNGWA WA SAMIA”

Mtu mzima aache kudanganya watu au wewe unaona mtu mzima kufake matukio ni sawa.
Mimi sina hata huo muda wa kufuatilia anayoyafanya, so yawe maigizo au siyo, i dont give a fck. Nawaonea huruma nyie mnaomfuatilia kila anakopita halafu anaishia kuwapa sukari tu.
 
Mimi huwa nawashangaa sana. Mtu hamumpendi lakini kutwa kucha kufuatilia mambo anayoyafanya.
Hakuna anayemfuatilia, tunayakuta humuhumu na mengine mnaanzisha nyinyi chawa. Imagine mnasema uongo kupotosha watu kwanini msiumbuliwe kabla uongo wenu haujaanza kuaminika kwa wasio na uwezo wa kuchambua mambo.
Secondly amejipachika ikulu kimabavu kwa kumwaga damu za watu hivyo anaathari za moja kwa moja kwa raia na nchi kwa ujumla.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nyie ni malodilofa , acheni kuhangaika na mtu mnayejua kabisa anawadanganya. Mkiendelea na huo mchezo tofauti yenu na chawa wa mama itakuwa ndogo sana.

Am out.
 
Mimi sina hata huo muda wa kufuatilia anayoyafanya, so yawe maigizo au siyo, i dont give a fck. Nawaonea huruma nyie mnaomfuatilia kila anakopita halafu anaishia kuwapa sukari tu.
Huna muda wa kufuatulia anayoyafanya, kisha unajibu wanaomzungumzia?! Si ungepiga kimya ili usiwe sehemu ya mjadala wake?
 
Nyie ni malodilofa , acheni kuhangaika na mtu mnayejua kabisa anawadanganya. Mkiendelea na huo mchezo tofauti yenu na chawa wa mama itakuwa ndogo sana.

Am out.
Be out as you wish ila huyo kikojozi wenu ataendelea kupopolewa nonstop.
 
Mi huwa nafarijika tu nikiona mihaters ya Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, inavyohangaika na kutapatapa kama hivi.

Aisee, huyu mama namwandalia tuzo ya heshima kwa jinsi anavyofanya 'silent killings' ya hawa nyumbu. Anawabonyesha kizenji bonyeeee basi yenyewe inakuja wangu wangu na mipumzi yao na kujimaliza yenyewe🤣🤣🤣
 
Uongo wa namna hii hauna faida yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…