GE2025 Maigizo au Utakatishaji fedha? CCM njooni hapa tusemezane

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Hatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme

Hatua ya pili
Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+ zinakusanywa. Wafanyabiadhara wanaonekana walikuwa wameshajiandaa kitambo kuchangia.

MATUKIO FIKIRISHI
  1. Tangazo la harambee linatoka leo, kesho yake tukio linajiri kwa ufanisi mkubwa
  2. Kamati ya maandalizi hakuna wala waratibu lakini mialiko imeshatumwa, ukumbi umeshachaguliwa na kulipiwa less than 24hrs pamoja na itifaki zote kupangiliwa na kupangika
  3. Washiriki ni wawekezaji wakubwa ambao ndani ya muda mfupi wameonesha kujiandaa kikamilifu kushiriki huku wengine wakijinasibu kuwa walifanya vikao na wenzao waliowawakilisha
Kwa hayo machache tujiulize tumegundua nini kwenye hili jambo?

My Take:
  1. CCM kuishiwa mikakati na mbinu za kipropaganda ni ajali, makusudi au kukosa kujiamini?
  2. Tukio hili la harambee linazidi kuiweka CCM shimoni kwa sababu sehemu kubwa ya washiriki wanatuhumiwa kwa.ufisadi na matukio yanayohusisha kukosa maadili kijamii.
  3. CHADEMA imeendesha kampeni zake kwa kuchangiwa na Watanzania wengi kwa mtindo wa tone tone, lakini CCM inachangiwa mabilioni kutoka kwa matajiri wachache. Hii inatuma ujumbe kuwa wenye nguvu wameungana na kujenga umoja nyuma ya CCM kuwakabili wanyonge wa tone-tone
  4. Mtanzania unaenda kutiki hapo Oktoba kwa utaratibu ama demokrasia ipi?
  5. Suala la utakatishaji fedha lipo kwenye heading tu. Sijaliandikia humu ndani zaidi ya passage hii

CCM akina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, chiembe, Pascal Mayalla, Ritz na wengineo, nawaalika tujadili haya maigizo ya chama chenu...
 
Yaani CCM wamfukuze uanachama, the Master Mind au the brain towards hiki walichofanya.Halafu Nchimbi yule si Dr. kabisa, mbona nae akili kama zimesinyaa.
Wangekuja na kampeni moja kabambe walau ya kinafiki tu..mfano sikia neno la CDM "tone,tone", Neno limekaa kinyenyekevu, kujishusha, jumuishi kwa watzz wote hata wenye hali ya chini.Sasa nyie mnaparade, wafanyabiashara, wanatangaza jinsi wanavyowahonda hadharani??
Biblia inasema"mfanyabiashara kuingia mbinguni ni ndoto, bora ngamia apite kwenye tundu la sindano"WHY?sababu ni wabinafsi, wajanja, hawatoi pesa bure....Sasa nyie mtu anakuchangia 1billion. Hivi ni baba yako yule, au mmeo au mtoto wako yule kwamba anakupenda sana?Mfanyabiashara tena hawa waTz ambao wengine hamuwezi hata tress hela wametoa wapi, akupe tu million 500 wewe unakenus meno tu, hushtuki, kwanza ni kujudhalilisha sana.
 
Maswali yako magumu sana, lakini usishangae kupewe majibu mepesi na ya kushangaza.
Bila waTanganyika kuamka, tutapata tabu sana. wala nchi ni wachache wanawakandamiza wenye nchi ambao ni wengi.
Tuwasikilize kwa makini kina John HECHE, Humphrey Polepole, Josephat Gwajima, TEC, na wote walio na mapenzi mema na taifa hili.

TUWASIKILIZE NA TUYAFANYIE KAZI WANAYOTUAMBIA. TUACHE UZOMBIE!
 
Hatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme

Hatua ya pili
Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+ zinakusanywa. Wafanyabiadhara wanaonekana walikuwa wameshajiandaa kitambo kuchangia.

MATUKIO FIKIRISHI
  1. Tangazo la harambee linatoka leo, kesho yake tukio linajiri kwa ufanisi mkubwa
  2. Kamati ya maandalizi hakuna wala waratibu lakini mialiko imeshatumwa, ukumbi umeshachaguliwa na kulipiwa less than 24hrs pamoja na itifaki zote kupangiliwa na kupangika
  3. Washiriki ni wawekezaji wakubwa ambao ndani ya muda mfupi wameonesha kujiandaa kikamilifu kushiriki huku wengine wakijinasibu kuwa walifanya vikao na wenzao waliowawakilisha
Kwa hayo machache tujiulize tumegundua nini kwenye hili jambo?

My Take:
  1. CCM kuishiwa mikakati na mbinu za kipropaganda ni ajali, makusudi au kukosa kujiamini?
  2. Tukio hili la harambee linazidi kuiweka CCM shimoni kwa sababu sehemu kubwa ya washiriki wanatuhumiwa kwa.ufisadi na matukio yanayohusisha kukosa maadili kijamii.
  3. CHADEMA imeendesha kampeni zake kwa kuchangiwa na Watanzania wengi kwa mtindo wa tone tone, lakini CCM inachangiwa mabilioni kutoka kwa matajiri wachache. Hii inatuma ujumbe kuwa wenye nguvu wameungana na kujenga umoja nyuma ya CCM kuwakabili wanyonge wa tone-tone
  4. Mtanzania unaenda kutiki hapo Oktoba kwa utaratibu ama demokrasia ipi?
  5. Suala la utakatishaji fedha lipo kwenye heading tu. Sijaliandikia humu ndani zaidi ya passage hii

CCM akina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, chiembe, Pascal Mayalla, Ritz na wengineo, nawaalika tujadili haya maigizo ya chama chenu...
Ccm ikumbuke tulikotoka mbona heshima ya chama inazidi kuporomoka? Hivi hao wachangiaji ni wanachama wanoijua itikadi ya chama?
 
Back
Top Bottom