Maige aliweka sokoni hekalu lake

Maige aliweka sokoni hekalu lake

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
243
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige ametangaza kuliuza nyumba yake aliyoinunua katika eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam kwa dola za Marekani 410,000 (takriban sh 700 milioni).
Source Mwananchi Jumamosi Sept 15,2012.
 
kwanini anaiuza...hali mbaya nini? hela ya bure ya serikali haipo tena... alafu mbona hela ndogo hivyo...au kwa vile hiyo hela aliyonunulia sio ya kwake
 
Anatafuta pesa za kugawana na vijana wa jimbo lake ambao watachukua pesa na kutompa kura!!!jimbo lake liko rehani ana kazi kubwa sana kupita kura za maoni chama chake na kushindania kupata ubunge kwa vijana wa chadema!kazi anayo!
 
Zile bussiness alizodai ndio zimemwezesha kupata huo mjengo zime-expire?
 
kwanini anaiuza...hali mbaya nini? hela ya bure ya serikali haipo tena... alafu mbona hela ndogo hivyo...au kwa vile hiyo hela aliyonunulia sio ya kwake

Anadai imemletea nuksi........ila watu wa mujini tumeelwa kuwa amechacha tayari
 
anauza kupoteza ushahidi wa ufisadi wake wa vitalu na twiga.
hata akiuza ushahidi upo wa kutosha kumtia hatiani
 
Mami meno yake imeansa kung'oka na kisu yake inapungua makali. Kipindi yeye anakuwa wasiri na meno iko, alifunja mifupa. Sasa ifi mambo ni wololowololo.
 
Duh aibu,hii inanikumbusha ndege moja ya boeng 747 ililetwa hapa kwa mbwembwe (Ikiitwa Community air) ikipiga route za Dar-Kili-Mwz bei yake ilikuwa sawa na unapanda scandnavia za wakati uleeee! yani ilikuwa sawa na bure! lakini jamaa walipotemeshwa uwaziri ndege ikapotelea huko angani na abiria mpaka leo haijatua.
 
Back
Top Bottom