ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,460
- 67,423
EeeehWote wameshanipiga chini... niko kwenye mkakati wa kuziba mapengo yao
EeeehWote wameshanipiga chini... niko kwenye mkakati wa kuziba mapengo yao
Mbili tu. Mwenye nyumba na mchepuko wa kudumu... we unapenda ipi?
Asante kwa kuweka wazi ukweli uliowashinda wengi..!Hawafanikiwi, kwa sababu wadada wengi wa jf wakiwa nyuma ya keyboard wanaongea utadhani wazuri kweli, sasa subiri ukutane nao, sura kaa ya mbuzi, miguu spoko za baiskeli, huku nyuma ni flat screen,,,utaoa kweli hapo?!!!! Mdada anakunywa pombe utadhani yupo kwenye mashindano....




Hawafanikiwi, kwa sababu wadada wengi wa jf wakiwa nyuma ya keyboard wanaongea utadhani wazuri kweli, sasa subiri ukutane nao, sura kaa ya mbuzi, miguu spoko za baiskeli, huku nyuma ni flat screen,,,utaoa kweli hapo?!!!! Mdada anakunywa pombe utadhani yupo kwenye mashindano....
Mimi Mgeni Humu Napenda Kuuliza Hivi Wanao Tafuta Wachumba Humu Wanafanyikiwa Kweli? Au Niudanganyifu2?
Babe I’m back in my positionNahofia anaweza kuwa mmoja wao kwa Id mpya...
Tena wewe ndo umesababishaEeeeh
Ngoja nione kama ni kweliBabe I’m back in my position
Mimi kupewa talaka. Wananituhumu eti nacheat na wewe.Nimesababisha ninibabe
![]()
Babu mimi simoMimi kupewa talaka. Wananituhumu eti nacheat na wewe.




Itabidi uwemo tu. Liwalo na liwe....Babu mimi simo![]()
Kwanza ulivyotuhumiwa ulinikana? if yes pambana na hali yakoItabidi uwemo tu. Liwalo na liwe....

