Mafanikio yoyote yale yawe yakutafuta mchumba au lah, ni matokeo ya mchakato ulotokana na Mipango ilofanyiwa maamuzi sahihi ,maamuzi yajuayo Jawabu hata kabla ya kujua swali.
Mimi nadhan, niwewe utakavyotupa Karata yako..... Ingawa binafsi huwa sishaur sanaa kutafuta mchumba kwa kutumia matangazo, nibora uzoee mazingira, alafu uwe unamfata mmoja mmoja PM unatengeneza ., bila shaka utaondoka nakitu cha kueleweka.
Humu ndani, nilikuja gundua kuna wanawake wengi wanaotafuta wachumba nazaidi wanatafuta NDOA SANA, ila Tatizo ni mazingira walokutana nayo humu.,, wapigaji wamekua wengi. Kiasi kwamba hata hawa wanawake pia wameamua Kua wapigaji ivoivo.