Mahusiano yetu na Umoja wa Ulaya!

Mahusiano yetu na Umoja wa Ulaya!

Annina

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
437
Reaction score
59
Wakuu naomba mwenye taarifa za hivi karibuni za mahusiano yetu kiuchumi na EU ani update. Nakumbuka kama miaka miwili iliyopita mhe Zitto aliwahi kuzungumzia issue ya Economic Partnership Agreement kati yetu na "our partners in development" EU hivi huo mkataba ulishasainiwa? una manufaa kwetu? sekta zipi zikae mkao wa kula? Mhe Zitto na wengine wenye taarifa pls msaada unahitajika
 
Back
Top Bottom