Obviously ukijificha lazima kuna tatizo kama hakuna jambo lolote baya sidhani kama mtu unaweza kuwa na mahusiano ya kujificha lakini vile vile hata kile unachoficha siku ya mwisho kitajulikana tu halafu kinaweza kuwa tatizo ukakimbilia kwa watu kuomba msaada na pengine wengine wakashindwa kukusaidia kwa sababu ulikuwa unaficha watu wasijue kama uko kwenye mahusiano, kwahiyo ni vizuri kuwa wazi hata tatizo likitokea watu wanaweza kukusaidia vizuri tu
katava mi nakupa umeja kabisaaa!! Nn ukuu!!niambie mkuu feis buku..............kwa kweli hata mimi sijui, lakini nahisi ukiwa tu memba wa jf wewe ni mkuu!!
Sio Katava, ni Katavi......katava mi nakupa umeja kabisaaa!! Nn ukuu!!
kwa mtazamo wako yapi ndo ya ukweli?kuwasiliana kwny simu au online tu bila kuonana?yale ya kusimama gizan yani meeting yenu usiku tu mchana uko busy.au kuweka bayana wa2 wote wawaone na kutambua km ya wema na daimond,au yale tangulia kansubr pale chini ya mti m nakuja...