Mahusiano yako na watu wengine. . . . YANARIDHISHA?

My dia,kumbuka ile ya tenda uende zako usingoje shukran,Usichague wala kubagua coz atakayekuzika humjui,
Usitegemee ni wote unaowatendea wema ndio wataijua shida yako,
Wapo wale ambao wanakuangalia tu ww unavyojitoa kwa wengine na wanakuwa wanaaprisiet unachokifanya kwa wengine,
Then from no where unapata shida au tatizo unashangaa mtu hata huna ukaribu naye ndio anajumuika na ww kwenye tatizo lako,
Usikatishwe tamaa na walimwengu kuwa mwema tu ipo siku mungu atakulipia kwa namna yake.
 
Sidhani kama nitaweza kuwa mkweli hapa.Nafikiri anaenijua ndo anaweza kusema zaidi kuliko mimi!
 
cjui nisemeje! Iam a very good person but life na mambo tunayokutana nayo ktk maisha yanatubadilisha sana nimekuwa so hard siku hizi bu i cant hide my softness. . Na utu haufichiki. .
Lizzy hilo la kuokota kitu niliwahi ajili binti ktk kazi aliniokotea heleni yangu ilidondoka. .Jamani matendo sometime yanadhihilisha sana tabia ya mtu nilienda tu kupata huduma hiyo sehemu kila mtu yuko busy but heleni yangu ikadondoka yule mtoto akatake time kuifuata na alikuwa anapita tu lakini wanamfahamu nikamuulizia then i didnt regret nilipomuajiri! Na ukiwa hivo utayaona kirahisi sana haya kwa watu wengine na kuyafanya pia!
 
Ukijifanya ku-impress watu sana kuwa wengi kati ya hao watakudharau kwamba unajipendekeza so mimi ni bandidu tu anayenikubali anikubali na asiyenikubali kimpango wake
 
Mimi ndio kila kitu kwangu niangalie upendavyo nitabakia kuwa mimi.Ongea uwezavyo na fanya uwezavyo nitabakia kuwa mimi.HAO WENGINE WANAVYONIONA HAITABABILISHA NINAVYOTAKA NIWE.Kwenye dunia hii ukiwasikiliza na kuangalia watu wanavyokufkiria na kukuongelea unaweza kuwa kichaa bure .BE YOURSELF IS GOOD THAN ANYTHING IN THIS WORLD
 
aiseee....
mimi nina multi personality disoder......lol

wapo watu wananijua kama muongeaji saana
na wapo watu watakuambia mimi siongei kabisa....

the thing about me huwa sipendi 'ku impress watu'
na niko suspicious na sifa ambazo mtu atanipa
siko saana comfortable na kusifiwa..na hainiumi kabisa mtu akiniponda....

mwisho kabisa niko way comfortable na 'my own company' pengine kuliko chochote.....
but najitahidi mno kutowaudhi watu bila kuwa mnafiki.....lol
 
Vitu vyote alivyosema Lizz navifanya sana tena wakati mwingine najishusha just to make fun. Lakini tatizo langu bwana ni kuwa napenda kuokoa muda, na napenda kuwa smart in doing my things. Mtu akifanya kazi hovyo ananiuzi kama nini, wakati mi najitahidi kazi iwe katika tbs.
 
yaani mimi ni mkorofi sana, najali mambo yangu tu.
Lakini nikiishi na watu siku sipo kila mtu ananitafuta, eti njoo bwana tumekumiss.
Huwa nashangaa sana.
Kumbe watu bwana wanakukubali kama ulivyo, usijaribu sana kuwa-impress.
Kumsaidia mtu sio kumuimpress, kama ingekua ndivyo mtu asingeweza kumpisha mama mjamzito siti wakati hamjui wala hajui kama atakaa akutane nae tena. Ni tabia na mazoea.
 
ila ukitaka kujua mahusiano yako na wengine, pata shida\tatizo

Heehe. . . Hii huwezi kuiamini wakati wote. Kuna watu wamewahi kuwasaidia ndugu/marafiki na jamaa zao kwa hali na mali ila mambo yalipowaharibikia waliosaidiwa wote wakawa kama hawamjui. Ukiwa umezungukwa na watu wanaojua kupokea tu na sio kutoa basi jua kabisa WANAKUTUMIA. Siku ukiwa hauko kwenye position ya kuwasaidia ndio basi tena.
 

Hakuna jibu nililolipenda kama hili ...
 

Mpaka hapo inaonyesha wewe ni mtoaji, otherwise wasingekujia wakiwa na matatizo. Sema tu wa ni wachukuaji hawatoi kwahiyo saidia bila kutegemea chochote kwao hutokua dissapointed, japo wapo wachache wanaoweza wakamanage kukudissapoint pamoja na kwamba hukutegemea chochote kutoka kwao.
 

Nalifahamu hilo ndugu yangu but huo ulikuwa ni mfano tu kwa sababu kuna watu wanaamini ukiwatendea wema watu basi na we watakutendea wema, kitu ambacho kinaweza kuwa kweli au si kweli!! Binadamu tuna definition nyingi saana, ukianza kuangalia watu wanakuchukuliaje unaweza usipate jibu kwa sababu hata sifa za kinafiki watakupa, na vilevile wanaweza wakakunyima na kuchafua uhalisia wako kutokana na sababu wanazozijua wao!! So kitu kizuri ni kwamba natenda kadri niwezavyo au nionavyo inafaa! !!
 
sijawahi kupenda kujua watu watu wananifikiriaje nisije nkakosana na wale ninaodhani ni marafiki bureee
 
You oughtta be kidding me. DID kwasababu tu unakua mpole/mchangamfu unapokua na watu tofauti? Hiyo sio DID ila ni namna ya wewe kuendana na yule ambae uko nae kwa wakati ule. Wengi tu tuko hivyo,inatokana na jinsi ulivyomzoea mtu. Kuna watu ambao ukiwa nao unajisikia free, mna mambo ya kuongea (interesting to both of you) kwahiyo ukikutana na mtu ambae ni kinyume cha hapo automatically unageuka mkimya.

Kuhusu kumuimpress mtu , bado sijaona ni namna gani unamuimpress mtu kwa kumwambia samahani baada ya kumpiga kikumbo. Unless hiyo sio tabia yako na unaona kwa kufanya hivyo utakua unafanya zaidi ya ambavyo ungependa.
 

Hiyo ndio aina nnayoongelea. Huyo binti hata hakutegemea utampa kazi ila ndio hivyo tena kaipata.
 

Lol.........this z enuf.
 
Ukijifanya ku-impress watu sana kuwa wengi kati ya hao watakudharau kwamba unajipendekeza so mimi ni bandidu tu anayenikubali anikubali na asiyenikubali kimpango wake

hahah nimeipenda hii, ilmradi hutendi mabaya kwa watu, hizo definitions zingine waachie wao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…