Mahusiano yakikosa maono ni ngumu sana kudumu

Thou i dnt thnk ur that religious
nimecheka, ni kweli kabisa kwa mambo ninayopost humu na nilivyo ni vitu viwili tofauti, kwakweli huwezi tegemea, kuna member wawili humu ndio wananijua vizuri
mimi ni mtoto wa mtumishi haswaa, basi tu mambo ya dunia huniangusha
 
Nimepata mashaka na hao member
 
hehe mimi sijaolewa jamani wenye ndoa zenu najua mtasema nisubiri zamu yangu, ila najitahidi nikiingia huko ndoa yangu niisimamie kama kiapo changu, Mungu anipe wa kufanana na mimi
Nakuja...
 
Back
Top Bottom