Noo tutawapa watu faida maana huu mjadala utaishia kuongelea v2 personal bt ipo siku ntakuuliza tu...nakuweka kiporo leokama kinaulizika uliza tu tujifunze
Thou i dnt thnk ur that religioushaha, poa
nimecheka, ni kweli kabisa kwa mambo ninayopost humu na nilivyo ni vitu viwili tofauti, kwakweli huwezi tegemea, kuna member wawili humu ndio wananijua vizuriThou i dnt thnk ur that religious
Twende kule mtaani kwetuAbeee Ney
Nipogo huko Ney wewe tu ndio sikuoni diaTwende kule mtaani kwetu
Nimepata mashaka na hao membernimecheka, ni kweli kabisa kwa mambo ninayopost humu na nilivyo ni vitu viwili tofauti, kwakweli huwezi tegemea, kuna member wawili humu ndio wananijua vizuri
mimi ni mtoto wa mtumishi haswaa, basi tu mambo ya dunia huniangusha
Ok nakuja mamiiNipogo huko Ney wewe tu ndio sikuoni dia
Ah! Hamna member ambae haingii humuhawazunguki hili jukwaa wangejitaja wenyewe hapa
Nakuja...hehe mimi sijaolewa jamani wenye ndoa zenu najua mtasema nisubiri zamu yangu, ila najitahidi nikiingia huko ndoa yangu niisimamie kama kiapo changu, Mungu anipe wa kufanana na mimi
kila kitu mnaleta imaniusipooa, utazini maisha yako yote, Mungu hakukosea kumuumba hawa pembeni ya Adam, sorry huo ni mtazamo wangu kwa imani yangu