Mahusiano ya Uganda na Rwanda Yazidi Kuzorota

Mahusiano ya Uganda na Rwanda Yazidi Kuzorota

Commodores

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
289
Reaction score
335
Rais Museveni wa Uganda hakuweza kuhudhuria mkutano wa viongozi wa kiafrika uliofanyika Rwanda wiki hii. Sababu iliyotolewa kupitia gazeti moja huko Uganda ni baada ya serikali ya Rwanda kukataa kutoa ushirikiano na maofisa wa msafara wa Rais Museveni waliokuwa wametangulia jijini Kigali kuratibu ziara ya Rais huyo wa Uganda. Inadaiwa maofisa hao walitaka kujua hoteli ambayo Rais Museveni angefikia na mambo yanayohusu usalama wake.
Wakati wa mkutano wa viongozi wa Afrika Mashariki uliofanyika Uganda Rais Kagame hakuhudhuria.
Rais Museveni hivi karibuni alimfuta kazi Mkuu wa Polisi wa Uganda baada ya Mkuu huyo kuonekana akifanya kazi karibu na serikali ya Rwanda.

Uganda: Why Museveni Called Off Trip to Free Trade Meeting

Analysing Uganda's unstable relationship with Rwanda | NTV

Is Rwanda and Uganda starting a chill in their relationship?
 
Paul Kagame amekwenda Uganda kwa ziara ya siku moja kujaribu kusuhisha tofauti kati ya Rwanda na Uganda
 
Uganda's President Museveni cancelled his trip to Kigali on Monday for the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) signing over security concerns.

Daily Monitor reported that Ugandan and Rwandan security teams charged with mapping out the president’s itinerary failed to agree.

“Normally, the advance team of a visiting head of State goes early to work with the security of the host country to prepare for the requirements of the visiting president. But this time, it was a different story,” a Ugandan security source told Monitor.

The protocol team checks where the president will stay, the routes and vehicles that will be used during the summit period, among others.

Mr Museveni’s advance team arrived in Kigali on March 12, but by Sunday [March 18], the hotel to host the president was yet to be revealed as well as vehicles he was to use.
 
Hivi aliewauwa wale wanajeshi wetu kwa ambush wakiwa camp hivi karibuni ni nani hasa?
 
wamegeukana nini tena wakati kagame alikuwa uganda na amefanya kazi katika serikali ya uganda kabla ya kufanya mapinduzi ya rwanda?
 
Back
Top Bottom