mtazamo mdogo
Member
- Feb 26, 2018
- 28
- 5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni ishara ya kuwa niko tyr kumkabidhi bandar zote jet Lee kama ilivoada maaana sina jinsi na siwezi kupata hiyo jinsi([emoji54])
Dr Mahiga alikwenda Uganda kwa ajili ya kuonana na Netanyahu.Huwezi kuona Waziri wa Mambo za Nje wa Tanzania kwenda Kenya kuonana na Tillerson watakuwa wame to underrate
Kumbe ni hivyo!Lipo wazi china anakupa mkopo mkubwa ukishindwa kulipa kwa mda anachukua bandari kama alivyo chukua gasi ya mtwara
*China Through SGR To Take Over Mombasa Port*Lipo wazi china anakupa mkopo mkubwa ukishindwa kulipa kwa mda anachukua bandari kama alivyo chukua gasi ya mtwara
Kwa aina hii ya viongozi wa kiafrika sahauni kabisa kuja kutegemea eti kuna siku Afrika itasimama. Viongozi wanaojenga vigenge vya watu wao kuwaongoza wengine halafu wanawapigisha magoti mamilioni ya waafrika wengine ili wawasujudie wale wateule wachache!Unaamin nn ndugu ni kwamba huna uwezo wakujitegemea na ukafanya vizur au kuna makosa yalifanyika kipind tunajitegemea?
Ww n mmoja ya wale walikuwa kwenye target ya mwl. JKN kuwa kizazi kisomi chenye akili watakaokuja kuchimba madini yao wenyew baada ya kugoma mikataba na wazungu ndio umekata tamaa hv?
75% ya waafrika ni vijana tunatakiwa kubadili mindset zetu kuwa Afrika inatuitaji tuitendee haki sahau mzungu hajawah kumtendea haki
JIAMIN JIONGOZE
Tanzania ilikuwa ikiheshimika sana kimataifa kwa Waziri wa Mambo za Nje wa Tanzania kwenda Uganda kuonana na Netanyahu haikuwa sahihi. Unajua kwa mara ya kwanza viongozi wawili wa Marekani Obama na Bush walikutana hapa Tanzania kwa ziara.Dr Mahiga alikwenda Uganda kwa ajili ya kuonana na Netanyahu.
kwa nn asije hukuWaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson anakuja Afrika. Atatembelea Chad, Djibouti, Ethiopia, Nigeria Kenya. Labda akiwa kenya atapata fursa ya kuonana na Waziri mwenzake Dr Mahiga katika harakati za kuimarisha uhusiano.
Sijui kwa nini Mkuu.kwa nn asije huku
Tanzania ilikuwa ikiheshimika sana kimataifa kwa Waziri wa Mambo za Nje wa Tanzania kwenda Uganda kuonana na Netanyahu haikuwa sahihi. Unajua kwa mara ya kwanza viongozi wawili wa Marekani Obama na Bush walikutana hapa Tanzania kwa ziara.
Wewe ndiye maskini wa mawazo, tofautisha ushirikiano/ uhusiano wa kimataifa na ukoloni mamboleo.Huu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Obama alipokuja Tanzania kabla ya Kenya alimaanisha nini naomba msaada mtaalam wa masuala ya kimataifaHuwezi kuona Waziri wa Mambo za Nje wa Tanzania kwenda Kenya kuonana na Tillerson watakuwa wame to underrate
Mahusiano ya Tanzania na Marekani wakati wa Bush yariimarika sana haswa baada ya kampuni ya Barrick Gold ku invest hapa Tanzania Rais Obama alikuja hapa Tanzania kwanza kwa ajili hiyo.Obama alipokuja Tanzania kabla ya Kenya alimaanisha nini naomba msaada mtaalam wa masuala ya kimataifa
Barrick gold na marekani na obama uhusiano unakujaje?Mahusiano ya Tanzania na Marekani wakati wa Bush yariimarika sana haswa baada ya kampuni ya Barrick Gold ku invest hapa Tanzania Rais Obama alikuja hapa Tanzania kwanza kwa ajili hiyo.
Bush to head Barrick special panel
Mkuu umeishia la ngapi?Acha papala fala wewe, muda wa awamu ya tano ukiisha njoo na hii thread, kwa sasa usitafute wanaume kwa nguvu