Mahusiano ya Tanzania na Marekani

Mahusiano ya Tanzania na Marekani

Uhusiano wa marekani na tanzania haujawahi kuimrika hata siku moja. Marekani inafanya urafiki na nchi endapo tu hiyo nchi hiyo itakubali kunyonywa, so kama hawana maslah hawahitaji urafiki na nchi yoyote. So usichekelee kuimarika kwa uhusiano na hao majizi wa kimataifa. Maana nchi ambayo ina uhusiano mzuri hata wananchi wake huwa na visa free kutembelea hiyo nchi. Ila omba visa ya marekani utazungushwa na utakaguliwa mpaka matakoni utadhani unaenda peponi
 
Wewe ndiye maskini wa mawazo, tofautisha ushirikiano/ uhusiano wa kimataifa na ukoloni mamboleo.
Jaribu kuwa unatumia akili mara mojamoja unataka ushirikiano gani na mmarekani kama sio kukupa msaada wa 10 akachukua 100, mmarekan hayupo kukusaidia atakunufaika tu.

0nly clever understand
 
Mda huu ulitakiwa uwe unapika chai

Hvi unafikiri bajeti yenu mnatengemea hao wakoloni kwa asilimia ngapi? Mnaweza kukamilisha bajeti bila kuwatengemea hao wazungu?

Kiufupi africa bdo ipo chini ya uangalizi wa mzungu,
Omba Mungu akusaidie uzinduke, bado upo fofofo
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson anakuja Afrika. Atatembelea Chad, Djibouti, Ethiopia, Nigeria Kenya. Labda akiwa kenya atapata fursa ya kuonana na Waziri mwenzake Dr Mahiga katika harakati za kuimarisha uhusiano.
I think Mahiga,is the worst Foreign Minister we have ever had as I don't think it's good to use Mnyetis arrogance & Tone when he talks about chadema to foreign diplomacy...... The way he answered EU & US few weeks ago .. He over do it... Perhaps Rose Migiro could have been good in that post than him... & him be sent Mambo ya Ndani au utawala bora or something
Huu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
 
Kipaumbele cha sasa ni kuhamia Dodoma na kujenga mji mpya chato na kuua kabisa elimu kazi kweli kweli
 
Unaamin nn ndugu ni kwamba huna uwezo wakujitegemea na ukafanya vizur au kuna makosa yalifanyika kipind tunajitegemea?

Ww n mmoja ya wale walikuwa kwenye target ya mwl. JKN kuwa kizazi kisomi chenye akili watakaokuja kuchimba madini yao wenyew baada ya kugoma mikataba na wazungu ndio umekata tamaa hv?

75% ya waafrika ni vijana tunatakiwa kubadili mindset zetu kuwa Afrika inatuitaji tuitendee haki sahau mzungu hajawah kumtendea haki
JIAMIN JIONGOZE
seems you have a point, though umetekwa na fikra za "uafrika -Afrocentric believes" na ukasahau kuwa Africa is under-hijack long time ago. Ni kupoteza muda kufikiri kuwa mwafrika anaweza kujikomboa especially kipindi hiki ambacho;-
  1. Adui mkubwa wa mwafrika ni mwafrika mwenzake. refer Congo DRC, SOUTHERN SUDAN, na Tanzania yaja..
  2. Hakuna siasa safi. Democracy imekandamizwa beyond imagination..!
  3. Ujinga umetamalaki. even those who went to school, still wako illiterate in contrary to public expectation. JPM ndo case study..
  4. No invention, No technology..absolute nothing. whom to blame? probably yourself and your generation.
After saying that, better accept truth...though HURTS. Adui wa Mwafrika ni Mwafrika.

cheers,Pro
f
 
Huu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Mchina ndiyo Mkoloni wa Tanzania sasa akifuatiwa na mhindi ambaye anapiga pesa ndefu kwa kuwatibu viongozi wa Tanzania India kwa gharama kubwa huku wakiwawekea damu chafu zenye Ukimwi mwingi ambapo huja kufa baadae wakirejea nchini, Tanganyika sasa kuna wakoloni wawili toka chato na kolomije ambao hawataki Demokrasia ni madikteta Hatari.
 
Kipaumbele cha sasa ni kuhamia Dodoma na kujenga mji mpya chato na kuua kabisa elimu kazi kweli kweli
Kipaumbele si hicho kabsa hivyo ni mojawapo wa vipaumbele tu, Lakini kimpaumbele namba moja kwa sasa ni kuua CUF na kuifuta chadema na kuua upinzani kwa ujumla 100% , Mtukufu malaika toka na mshauri wake mkuu Maliyamungu idd Amin Bashite wanataka mfumo wa chama kimoja urejeshwe pia zidumu fikra pekee za Mwenyekiti wa CCM, fikra zingine Tanganyika ni marufuku, ukileta fikra zako Wazee wa Nissan nyeupe akina Jerry muro wanakutwanga Risasi au wazee wa kutengeneza mazingira ya kuwabambikia kesi akina Msiba ,le mutuz wanakuundia zengwe unabambikiwa kesi na kuozea jela, hii ndiyo Tanzania ya viwanda, Pesa za viwanda zinaliwa na Madalali wa siasa wa CCM kwa visingizio vya kudhoofisha, kuua, kuwakomoa, kuwadhalilisha na kuwabambikia kesi Wapinzani.
 
Kufa kufaana, dhamila ya Mtukufu Bokasa wa Tanganyika ni kurejesha Nchi kwenye mfumo wa chama kimoja na Madalali wa siasa huko CCM ni kushiba kupitia hiyo Bajeti kubwa ya kubomoa upinzani, kila mmoja ana ajenda zake jinsi ya kupiga hizo pesa za walipa kodi zinatumika kwa kazi ambayo haina tija kwa wananchi, kumbuka walipa kodi wengi si wanachama wa CCM ni Wapinzani ndiyo hulipa kodi zaidi, cha ajabu pesa zao zinachululiwa Hazina kienyeji na kutumika kuwapiga mabomu, kununua magari ya washawasha, Nissan nyeupe na kukodi vikundi vya unyama toka Rwanda kuja Dodoma kumpiga Lisu Risasi, kwa kweli walipa kodi hujisikia vibaya pesa zao kutumika kwa mambo ya hovyo hovyo badala ya viwanda na maendeleo kwa ujumla.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson anakuja Afrika. Atatembelea Chad, Djibouti, Ethiopia, Nigeria Kenya. Labda akiwa kenya atapata fursa ya kuonana na Waziri mwenzake Dr Mahiga katika harakati za kuimarisha uhusiano.
Huu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Si bora mzungu kuliko huyu mkoloni mweusi ccm
 
Huu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Mzungu hakwepeki ndugu yangu na huo ukoloni tutaumaliza midomoni na kwenye vitabu tu ila kiuhalisia ni ngumu...

Nikirudi kwenye mada acha tumpe muda jamaa labda atatembelewa siku za mbeleni maana ndio kwanza anakimbilia miaka mi3 tu
 
Kama ziara ndio kipimo pekee cha kuashiria mahusiano basi hata nchi nyinginezo hapa duniani zina mahusiano mabaya na marekani kwakua tangu Trump awe Rais hajafanya ziara yoyote kuzitembelea.

Especially Africa.
 
Kipindi cha awamu ya utawala wa tatu na nne tuliona mahusiano ya Tanzania na Marekani ikiimarika sana. Marais wastaafu Clinton, Bush na Obama wote walifanya ziara hapa nchini Tanzania kwa wakati tofauti na mikataba mingi ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania ilisainiwa ikiwemo na msaada wa Marekani kwa sekta ya afya. Waziri wa Mambo za Nje wa Marekani anafanya ziara barani Afrika na katika ziara yake hiyo hatazuru Tanzania tofauti na watangulizi wake wengine John Kelly, Condolazee Rice na Hillary Clinton, ambao walizuru Tanzania kwa wakati tofauti pia. Toka serikali ya awamu ya tano kuingia Marekani hakuna kiongozi wa ngazi ya juu wa Marekani aliyezuru Tanzania mbali na mpango wa Marekani kutaka kuiwekea vikwazo Tanzania. Je hii ni dalili ya Tanzania kutengwa na taifa hili kubwa duniani na nini sababu kubwa.

Press Release: President Clinton and President Benjamin Mkapa to Announce Mkapa Medical Fellows Program

Bush discusses African crises, praises Tanzania

Barack Obama arrives to warm welcome in Tanzania - and a surprise

Mkuu unapenda sana 'kutembeza bakuli'eh! Waje kwetu wana nini na sisi tushindwe kwenda kwao tuna nini?
Kuna ulazima gani wa kutokea uliyoyaandika?
 
seems you have a point, though umetekwa na fikra za "uafrika -Afrocentric believes" na ukasahau kuwa Africa is under-hijack long time ago. Ni kupoteza muda kufikiri kuwa mwafrika anaweza kujikomboa especially kipindi hiki ambacho;-
  1. Adui mkubwa wa mwafrika ni mwafrika mwenzake. refer Congo DRC, SOUTHERN SUDAN, na Tanzania yaja..
  2. Hakuna siasa safi. Democracy imekandamizwa beyond imagination..!
  3. Ujinga umetamalaki. even those who went to school, still wako illiterate in contrary to public expectation. JPM ndo case study..
  4. No invention, No technology..absolute nothing. whom to blame? probably yourself and your generation.
After saying that, better accept truth...though HURTS. Adui wa Mwafrika ni Mwafrika.

cheers,Pro
f
points
 
Back
Top Bottom