Mahusiano ya Tanzania na Marekani

Mahusiano ya Tanzania na Marekani

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Kipindi cha awamu ya utawala wa tatu na nne tuliona mahusiano ya Tanzania na Marekani ikiimarika sana. Marais wastaafu Clinton, Bush na Obama wote walifanya ziara hapa nchini Tanzania kwa wakati tofauti na mikataba mingi ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania ilisainiwa ikiwemo na msaada wa Marekani kwa sekta ya afya. Waziri wa Mambo za Nje wa Marekani anafanya ziara barani Afrika na katika ziara yake hiyo hatazuru Tanzania tofauti na watangulizi wake wengine John Kelly, Condolazee Rice na Hillary Clinton, ambao walizuru Tanzania kwa wakati tofauti pia. Toka serikali ya awamu ya tano kuingia Marekani hakuna kiongozi wa ngazi ya juu wa Marekani aliyezuru Tanzania mbali na mpango wa Marekani kutaka kuiwekea vikwazo Tanzania. Je hii ni dalili ya Tanzania kutengwa na taifa hili kubwa duniani na nini sababu kubwa.

Press Release: President Clinton and President Benjamin Mkapa to Announce Mkapa Medical Fellows Program

Bush discusses African crises, praises Tanzania

Barack Obama arrives to warm welcome in Tanzania - and a surprise

Kuna laana inatutafuna wacha tutafunwe tuu maana hamna namna. Huwezi kujitapa unaboresha maisha ya wanyonge wakati wanyonge hao hao ndio wanalia kuliko awamu yoyote iliyowahi kutokea ktk nchi hii! Yaan kipindi hiki ni worst than colonial era.
 
kama yeye haendi kwao na haoni shida yake iweje wao ndio waje kwa shida zipi!
 
US-Tanzania Relations The US established diplomatic relations with Tanzania in 1961. The US is committed to working with Tanzania for sustainable development. Tanzania’s exports to the US are dominated by agricultural commodities, minerals, and textiles while imports from the United States include wheat, agricultural/transport equipment, chemicals, used clothes, and machinery. Tanzania is eligible for preferential trade benefits under the African Growth and Opportunity Act. The United States has Trade and Investment Framework Agreements with the East Africa Community
 
Kuna laana inatutafuna wacha tutafunwe tuu maana hamna namna. Huwezi kujitapa unaboresha maisha ya wanyonge wakati wanyonge hao hao ndio wanalia kuliko awamu yoyote iliyowahi kutokea ktk nchi hii! Yaan kipindi hiki ni worst than colonial era.
Huyu mkoloni wa sasa bora hata mkoloni mjeruman Karl peters
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson anakuja Afrika. Atatembelea Chad, Djibouti, Ethiopia, Nigeria Kenya. Labda akiwa kenya atapata fursa ya kuonana na Waziri mwenzake Dr Mahiga katika harakati za kuimarisha uhusiano.
 
Huu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Tunangojea kuwa koloni la China. Mark my words
 
Hata mm nafikiri hvyo, nakaribia kuamin yale maneno yaliyosemwa "mgogo hata akiishi masaki, atatoka kuomba moto kwa jirani" ishakuwa tabia imejenga mazoea

watani wangu wagogo just joke
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson anakuja Afrika. Atatembelea Chad, Djibouti, Ethiopia, Nigeria Kenya. Labda akiwa kenya atapata fursa ya kuonana na Waziri mwenzake Dr Mahiga katika harakati za kuimarisha uhusiano.
Huwezi kuona Waziri wa Mambo za Nje wa Tanzania kwenda Kenya kuonana na Tillerson watakuwa wame to underrate
 
Huu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Mda huu ulitakiwa uwe unapika chai

Hvi unafikiri bajeti yenu mnatengemea hao wakoloni kwa asilimia ngapi? Mnaweza kukamilisha bajeti bila kuwatengemea hao wazungu?

Kiufupi africa bdo ipo chini ya uangalizi wa mzungu,
 
Kipindi cha awamu ya utawala wa tatu na nne tuliona mahusiano ya Tanzania na Marekani ikiimarika sana. Marais wastaafu Clinton, Bush na Obama wote walifanya ziara hapa nchini Tanzania kwa wakati tofauti na mikataba mingi ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania ilisainiwa ikiwemo na msaada wa Marekani kwa sekta ya afya. Waziri wa Mambo za Nje wa Marekani anafanya ziara barani Afrika na katika ziara yake hiyo hatazuru Tanzania tofauti na watangulizi wake wengine John Kelly, Condolazee Rice na Hillary Clinton, ambao walizuru Tanzania kwa wakati tofauti pia. Toka serikali ya awamu ya tano kuingia Marekani hakuna kiongozi wa ngazi ya juu wa Marekani aliyezuru Tanzania mbali na mpango wa Marekani kutaka kuiwekea vikwazo Tanzania. Je hii ni dalili ya Tanzania kutengwa na taifa hili kubwa duniani na nini sababu kubwa.

Press Release: President Clinton and President Benjamin Mkapa to Announce Mkapa Medical Fellows Program

Bush discusses African crises, praises Tanzania

Barack Obama arrives to warm welcome in Tanzania - and a surprise
Ukitaka mahusiano mazuri na Marekani..uwe tayari kuliwa bila ganzi. Hiyo misafara yote ya nyuma haikuja bure..kuna kitu walikuwa wanafuata na kilikua kina value for money.
 
Huu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Kwani umeambiwa kuukataa ukweli ndiyo utajiri wa fikara? Utake usitake mkoloni Mjerumani alifanya vizuri zaidi kipindi cha utawala wake kuliko miaka zaidi ya hamsini mliyo jitawala.
 
Tunangojea kuwa koloni la China. Mark my words
Huko Ethiopia anakoenda Rex Tillerson wamefungamana na China kuliko Tanzania.

Kuna jambo hatulijui huku mitaani.
 
Kwani umeambiwa kuukataa ukweli ndiyo utajiri wa fikara? Utake usitake mkoloni Mjerumani alifanya vizuri zaidi kipundi cha utawala wake kuliko miaka zaidi ya hamsini mliyo jitawala.
Unaamin nn ndugu ni kwamba huna uwezo wakujitegemea na ukafanya vizur au kuna makosa yalifanyika kipind tunajitegemea?

Ww n mmoja ya wale walikuwa kwenye target ya mwl. JKN kuwa kizazi kisomi chenye akili watakaokuja kuchimba madini yao wenyew baada ya kugoma mikataba na wazungu ndio umekata tamaa hv?

75% ya waafrika ni vijana tunatakiwa kubadili mindset zetu kuwa Afrika inatuitaji tuitendee haki sahau mzungu hajawah kumtendea haki
JIAMIN JIONGOZE
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Huko Ethiopia anakoenda Rex Tillerson wamefungamana na China kuliko Tanzania.

Kuna jambo hatulijui huku mitaani.
Huko Ethiopia anakoenda Rex Tillerson wamefungamana na China kuliko Tanzania.

Kuna jambo hatulijui huku mitaani.
Lipo wazi china anakupa mkopo mkubwa ukishindwa kulipa kwa mda anachukua bandari kama alivyo chukua gasi ya mtwara
 
Back
Top Bottom