Mahusiano ya mtandaoni ukiyajulia hayakusumbui kabisa

Mahusiano ya mtandaoni ukiyajulia hayakusumbui kabisa

Valentina nilikuwa na wwngine yupi huyo nimeshasahahu mara ya mwisho nilikuwa na nani
 
Last edited by a moderator:
Shostito, sikutarajia kwamba hata wewe shogangu waweza nitenga atii
Ubuyu kuulia mafichoni! au waogopa kutangazwa?
Nimeishia kupata nyepesi nyepesi kutoka kwa wambea wenzangu wa mtaa, Asnam anahuska hapa.

Haya shoga nieleze maana nasikia TAHAYURI IKAGEUKA SHONDA

Kulikoni!!!!!!!!

shost hapa naona manyoya tu,nimeambulia patupu,nifafanulie plz....

Btw za siku nyingi?
 
"Mi najua yule binadamu, namie binadamu. Hata wewe MM inakuhusuuuuu???"

Tcheeeeeeiiii.....wacha nivae miwani kwanza!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom