Mahusiano ya mpenzi ambae hamjawahi onana

Mapenzi ya kidigitali [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Cc Samaritan
 
Miaka mitatu bila kuonana na so called Bae???? Hapana what about video calls?? Wanatumia

Imenikumbusha nilivokua napiga ruti mwaka mzima
video calls zote zinatumika kabisa...
 
Haitoshi, kuna muda mnapaswa muwe pamoja mnakua na zile romantic moments
sasa ndo vile muda umetimia ndo maana jamaa kaamua kumtafuta kuproove yote hayo
 
Miaka mitatu mingi sana binafsi siwezi kuvumilia ndio mana imenikumbusha safar nilizokua napiga kumfata ex bae
 
ulipomfata ex bae wako....mambo si yalienda poa ama?
 
Miaka mitatu mingi sana binafsi siwezi kuvumilia ndio mana imenikumbusha safar nilizokua napiga kumfata ex bae
kwani mlikuwa mnafaamiana ama ndo ilikuwa mara ya kwanza kukutana na kufahamiana??
 
Mimi tuna miaka 2 na nusu, na tunategemea tutaonana mapumziko ya sikukuu ya Eid mwaka huu, yeye ndo atakuja kwangu, binafsi niliyapenda mno, tatizo la kutokuonana mapema ni majukumu ya kikazi, wote tulikuwa busy, na ilikuwa tukipata nafasi mmojawapo anapata dharula hasa mimi, so ni Kawaida tu mbona
 
Miaka3 ya mahusiano pasipo kuonana? Aaah! Jamani ..na mwanaume ukakasi alikua anaumalizia wapi??? Na hakukua na kalikizo hata ka kukutana japo week?? Sijawahi ona mahusiano ya ivyo
 
nadhani hukunielewa vzur....

Ishu ni kwamba hakuna anayefahamiana na mwenzie zaidi ya mitandao tu....kwahyo ndo mara kwanza ndi wanaenda kufahamiana face to face kwa mara ya kwanza tangu waanzishe mahusiano mtandaoni....
 
Mimi tuna miaka 2 na nusu, na tunategemea tutaonana mapumziko ya sikukuu ya Eid mwaka huu, yeye ndo atakuja kwangu, binafsi niliyapenda mno, tatizo la kutokuonana mapema ni majukumu ya kikazi, wote tulikuwa busy, na ilikuwa tukipata nafasi mmojawapo anapata dharula hasa mimi, so ni Kawaida tu mbona
mlitoana mtandaoni?
 
Uyo jamaa asishangae kufuatwa na punga na sio demu
 
Back
Top Bottom