Mahusiano ya mbali ni balaa

Wanaume tuna matatizo sana vichwani,tunadhani nyapu ni zetu na tunazimiliki wakati ukweli ni kwamba wenye pussy zao wanamaamuzi ya kuzifanya wanavyotaka.Wanaume tujue ndoa au mahusiano hayatupi hati miliki ya vitumbua,labda wenyewe waamue.Lesson learnd
 
malaya ni malay tu hata ungieshi naye siku zote hata bila kusafiri.
 
Wanaoleta hoja za umbali ni vijana wanaolinganisha uhusiano wa kimapenzi na ndoa. Na hawa ni vijana wanaokaa mbali na wazazi kwa hiyo hawapati mazungumzo ya ndoa. Ukichunguza vizuri vijana waliokulia vijijini hata wakifika mijini hawana mzaha na swala la kuoa/kuolewa kwa sababu ndugu na jamaa waliowaacha vijijini wanatoa kipaumbele swala la kuoa/kuolewa. Njoo kwa hawa born town ndo utawasikia wanafanya kampeni za ndoa ni utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…