Huwa haina mbali wala ukaribu, hizo ni tabia tu za watu.
Kama ulikua haujui basi ngoja nikujuze, watu wanaishi pamoja lakini kila mmoja akienda kwenye mihangaiko mwingine anatoka nyumbani kwenda kungonoka kwingine au mtu anaenda kazini lakini huko kazini bado anatoroka mara moja kwenda kubanjuka, na wakati mwingine huko kazini au mtaani watu wanajua kuwa anagusanishaga vikojoleo na fulani.
naunga mkono maoni ya mdau kama mdauNakazia
Hapa upo sahihi kbsa mkuumahusiano ya mbali ni kujizima data tu ndio yataenda ila ukiyapa usiriazi sana utaambulia maumivu makali mno.
Jamani 🤔Mbongo ana asili ya unafiki. A few to mention ambao sio wanafiki but majority ni wangese.
Inakuwa ngoma droo
mkuu hayo ndio huwa yanawatokea wengi, wengine wanapiga hadi video call kuhakiki usalama ila mtu anazunguka na camera ukikata tu watu wanamegana kilaini kabisa.Yani ni movie mzee. 😄 Unaambiwa bby goodnight nmechoka leo. Simu ikikatwa after 5 mins ukiipiga ngoma inatumika yani "Line Busy"
ndivyo ilivyo na usiombe mwenzio ajue unamuelewa sana.Hapa upo sahihi kbsa mkuu
Ukimpigia asipopokea, halafu asubuhi akakwambia"sorry, nililala mapema", mjibu kwamba "usijali, mimi mwenyewe ndiyo kwanza narudi asubuhi hii".Yani ni movie mzee. 😄 Unaambiwa bby goodnight nmechoka leo. Simu ikikatwa after 5 mins ukiipiga ngoma inatumika yani "Line Busy"
True Kuna ndoa zinadumu kwa watu kukaa mbalimbali.Kuna hao waliokuwa na ndoa yao, mume mkoa huu na mke mkoa ule. Walidumu miaka na miaka.
Baadaye walikata shauri mume amfuate mke wake mkoa ule ili waishi pamoja, na walifanikiwa.
Baada ya kuanza kuishi pamoja miezi kadhaa tu ndoa ikavunjika.
Mkuu, trust me, long distance relationship haina tatizo.Kuna hili la tabia ni jambo moja ila ile ya Long distance ni Extreme level. Yani ipogi tu watanzania ni wanafiki sana to the core. Long distance ni kwa watu wanao value uaminifu kama wazungu.
Hapana. Umbali unamlazimisha mtu kuchepuka. Hii uliosema wewe ya watu kuchepuka hata wakiwa pamoja ndiyo tunaweza kusema ni hulka ya mtu.Huwa haina mbali wala ukaribu, hizo ni tabia tu za watu.
Kama ulikua haujui basi ngoja nikujuze, watu wanaishi pamoja lakini kila mmoja akienda kwenye mihangaiko mwingine anatoka nyumbani kwenda kungonoka kwingine au mtu anaenda kazini lakini huko kazini bado anatoroka mara moja kwenda kubanjuka, na wakati mwingine huko kazini au mtaani watu wanajua kuwa anagusanishaga vikojoleo na fulani.
SureWapo watu wanakuwa na amani wakiwa mbali na wenzao ili wapate utulivu wa utafutaji
Haya mambo siwezi kubisha mkuu, maana watu hujiwakilisha zaidi experience zao katika hili.Hapana. Umbali unamlazimisha mtu kuchepuka. Hii uliosema wewe ya watu kuchepuka hata wakiwa pamoja ndiyo tunaweza kusema ni hulka ya mtu.