Maelekezo na maneno mengi ya nini? This is weekend na watu tumeianza kuanzia jana
Katika mahusiano na huyo uliye naye,...au unaetaka kwa nae katika maisha yako
ungependa muwe na personality sawa au mnazo personality sawa?
nani kakwambia hayo..................................unatafuta mtakayelewena...........ingawaje mara nyingi unatafuta yule ambaye atakidhi vionjo vyako na baadaye kugundua siyo kamilifu kama ulivyotegemea na tatizo ni kutegemea makubwa kulikoni hata uliyonayo.........
personalty zikifanana au zisifanane poa tu wat i nid ni mtu NINAYEPENDANA NAYE.
cha msing upendo ivo vingne mbwembwe tu......
mshind wa marathon anaweza muoa KIWETE ASIYEWEZA ATA TEMBEA
mwenye macho anaolewa na kipofu
bubu anaolewa na mtangazaji
mwislamu na mkristu
anayependa kulia anaolewa na anayependa kucheka
socialista anaoa liberalist
gaddaf anaoa bnt wa obama
ccm anaolewa na cdm
bobby marley anamuoa hadija kopa
hitler anaoa israel
nyan ngabu anamuoa lizzy
faiza fox anaolewa na padre
swala anaolewa na konokono
PERSONALTY .TOFAUTI ZA MITIZAMO AINYIMI WATU KUISH PAMOJA ....KINACHOTAKIWA NI LAV...MKIPENDANA KILA KITU KINAWEZEKANA
Personality zisipofanana uwezekano wa uhusiano kudumu ni mkubwa. Ila kuna personality zilizo tofauti na zinakinzana hizo kidogo unahitaji kufanya kazi ya ziada ili uhusiano udumu. Google mambo ya nyota utaona wanavyoelezea. Mfano mimi nyota yangu ni ya wale watu wanaojali sana kuhusu maisha ya kesho. Mume wangu ni quite opposite. Yeye ni ku spend kwenda mbele. Sasa hii ni difference ambayo ni rahisi sana kuleta ugomvi ndani. Hence unahitaji kufanya kazi ya ziada kuvumiliana. Ila kuna personality ambazo zina differnce lakini bado ni compatible.
Mfani mimi najali sana savings na investments. Mume wangu hana worry yoyote. Kuwa na mimi kwa upande mmoja kunamsaidia kuwa na maendeleo tofauti angekuwa na mtu walio kwenye group moja. tatizo sometimes nina sound mkorofi pale ninaposhauri tuachane na matumizi yasiyo na lazima.
Ila kwa kuwa mimi ni mdadisi nilishasoma mambo ya nyota (tarehe za kuzaliwa) nikagundua tofauti zetu hence nimeamua kuvumilia na kujaribu kupunguza demands za saving.
Nadhani nimesomeka.
Sidhani kama umeelewa topic husika,...na uliyo orodhesha hapo kwenye red sio personality!
Asante kwa kuchangia lakini
Red: sio necessary kila mtu anajua hilo
Blue: ni katika kutaka topic ieleweke

Mimi kwa kweli niko tofauti na my huby kabisa but tunaishi poa
matumizi ya lugha nehiiiiiiiiiiii..pole sana
i?
ehh wewe wawap?
cheza na lugha wewe.....endelea kushushua manake leo naona umekalia mbigili
umezoea mtu akisema bubu basi ni bubu kweli?
kipofu basi kipofu kwel