Mahusiano na mtu nisiyemjua

Mahusiano na mtu nisiyemjua

Belleringal

Member
Joined
May 25, 2020
Posts
83
Reaction score
155
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?

Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( not sure) ...then tukawa tunaendelea kuchat ,kuchat kila siku almost 2 months tunawasiliana mpaka tukawa na MAHUSIANO ya online tu...

One day aliniambia that anarudi tz so atanitafta na no nyingine .......kweli bhn wiki ilivyoisha akanitumia msg kuwa yupo tz na akanipigia pia ...akaniambia kesho yake tuonane 🤪.... Kesho ikafika bhn akaniambia nitamkuta mbezi ya kimara...kweli mtoto wa kike nikajiandaa nikaenda tukawasiliana nikiwa stand ....akaja tukasalimiana ....bas bhn nikapandishwa pikipiki ati tunaenda kibaha kuangalia shamba lake ...tukaenda bhn...

Hamna Cha shamba wala nini akakodi lodge (hakulipia😭) sasa tukawa tumekaa KWA nje (lakini ni mazingira ya ndani ) ilikuwa siku ya jumamoc tunapiga story kabla ya kuingia ndani akaniuliza una acc ya bank nikqjibu sina , business gani unayo ...nikqjibu kuku nauza chotara .....basi tukaingia ndani akaniuliza una 50 hapo?

Nikqjibu hapana .....akatoka nje .. akarudi akaazima simu that ampigie mdogo wake ...kapiga wakaongea ....kabla yalolote kufanyika akatoka Tena mara ya tatu nje 😭jaman nyuma ya kasha la simu niliweka 20k huku mkononi sina hata mia ...

Jamaa akasepa na simu baada ya kuhisi sina pesa ....inaonekana ni mtandao wa wezi na inaonekana nilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu 😊🙌
 
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa tabata kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?

Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( ilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu

Tunda halikuliwa ki masihara hapa??
 
Wanachama wote wa UWABATA
( Umoja wa Wanaume Bahili Duniani)
tukutane hapa kumpongeza mwenzetu kwa chake Kitendo Cha uzalendo Uliotukuka.

Kwakweli katuwakilisha vema.

Na hii iwe Ni fundisho kwa maslay queen wote wa mjini

NAWASILISHA
IMG_20210921_223422.jpg
 
Tuache unafki jamani mbona hapa daslam wanaopigwa kwa njia hiyo ni wengi tu hakuna cha kushangaa hapa muhimu ni kutomuamini mtu usiyemfahamu mjini kila mtu mpigaji watoto wa chuga wanakuambia mbele mbele yao
 
Back
Top Bottom