Do you think ni ujanja?
Or ushamba?
Ujumbe mzuri sana,nadhani wamekusikia,ila ni ulimbukeni tu,na zaidi ni wengi wao kuwa idle hawana shughuli za kufanya ndo maana wanaamua kujiajiri Facebook.
Na mimi nimo kwenye hako kamchezo!
Jee nijifanye simo?
Ujumbe mzuri sana,nadhani wamekusikia,ila ni ulimbukeni tu,na zaidi ni wengi wao kuwa idle hawana shughuli za kufanya ndo maana wanaamua kujiajiri Facebook.
Hakuna kingine zaidi ya ujinga, ulimbukeni wa technolojia na kutojua madhara ya kufanya hivyo...!
Mambo mengi waTz (sijui kwa jamii zingine) tunafanya bila Ku foresee matokeo, hasa yale ambayo yameletwa na wazungu..tunadandia Fuso kwa mbele in many ways. Iwe mavazi, social lifestyle zetu na sasa social networks zimetuchanganya vibaya.
Are you for real?! Hivi umeshawahi kujiuliza miaka 10 ijayo utakuwa wapi na ni jinsi gani mambo yako kwenye mitandao ya jamii yanaweza kukuadhiri either directly or indirectly? Jifunze kuweka mambo yako private,bora uwe unaweka picha za ndugu zako na marafiki zako, hao wapenzi wako waache wabaki kuwa siri yako na marafiki zako wa karibu hadi pale utakapo mpata wa shida na raha mpaka kifo kitakapo watenganisha.
Teh teh teh....kama huna mbio tangulia mbele:A S wink:.
Khaa! Weye wasema fesibuku? Kule madogo tu.
Umu kunamijitu mizima haipungui miaka 30 na bado hako kaushamba kamewaganda nndiii...!
ulemhola!mi napitamo......