Mahusiano na EX wa Bestfriend

Mahusiano na EX wa Bestfriend

Hahaaaaa!! Hata mimi mchoyo kwa wachoyo, kwakuwa umeomba uchumba nipe sababu ya kukupa uchumba.

mbona umeanza interview mapema?
wamakonde wanasema'kitu ulichopewa bure na mungu kumnyima mtu sio vizuri'
 
Itakuwa ulikuwa unampenda tangu zaman be4 hajaachana na rafik yako
 
Mi best friend namchukuliaga kama ndugu ,siwez hata jenga ukaribu na mpenzi wake hata tukiwa kawaida.Sasa itafikaje hadi kutongozana.Sishangai inavyotokea kwa wengine ila mimi binafsi siwez kabisa.Sasa hivi nina degree ya 2 na tangu Primary nimekuwa na best friends wawili tuu na wamekuwa ndugu zangu kabisaa labda I am too selective.
 
mapenzi ni kitu ambacho huacha kumbukumbu mbaya katika mioyo yetu.. Kumbukumbu ambazo huwa hazifutiki mpaka kifo.. Huwezi kuondoa hisia kwa mtu ambaye ulimpenda haijalishi mmeachana au la! Lakini hili la kutembea na X wa Rafiki yako, inanipa Ugumu kidogo kukukubaliana.. Kutoka katika kichwa changu na Mawazo yangu binafsi ni kwamba ulimtamani Shemu wako kabla hata ya kuachana kwao..
 
Back
Top Bottom