Mahusiano na EX wa Bestfriend

Mahusiano na EX wa Bestfriend

Siku wakirudiana utajiskiaje?
Kama we are stl dating ctajskia vzur, ila kama we are nt datng nafunka kombe mwanaharamu apite. Kama their reason za kubreak up zlikuwa real hawawez kurudiana anyway.
 
Heshma kwenu Wakuu.

Kuna jambo naomba mnipe ufafanuzi kwanini hua inatokea hivi.

Hii ni hasa kwa Wanawake.
Tunaeza kua Bestfriends na kila mtu ana Mpenzi wake na maisha yanasonga vizuri tu.
Tatizo linakuja pindi mahusiano yanapovunjika baina ya kila mmoja wetu na mpenzi wake. Ikitokea baada ya kuachana na mahusiano yangu ya nyuma, mpenzi wa zamani wa bestfriend yangu akaniomba uchumba na kumkubalia inasababisha uhasama mkubwa kati yangu na my bestfriend.

Naomba kueleweshwa hapa kosa liko wapi na ni kwanini uadui hutokea?


NB: Ni mpenzi wa zamani wa my Bestfriend sio kwamba nimemnyanganya mpenzi.
"..Mbona wanaume wapo wengi sana,si jambo la heshima kutembea na bwana ex wa rafiki yako kipenzi"
 
Unamgawa wakati tayari ni ex? Unaongea simple as wewe ndio umeshaopoa shemeji yako.
Shemeji ajopolewa mkuu...ila akijileta kwa wakati sahihi ufanyeje na upo single
 
Vitu vinavyojunja amani, vinavyoleta machafuko, watu kutoelewana... ni viwili tu.. Pesa na mwanamke..
 
Siku hizi ni ku test kwanza kabla ya kubeba...
viambatanisho vinakuja mtu akinogewa
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] , nami nitakolezwa na nini kama hamna viambatanisho? Wakati viambatanisho ndio vinanikoleza?
 
It's not right on all levels. To date, Michel'le still get burnt by majority who blame her for ruining Death Row, and Suge-Dre relationship. Even tho she got none to do with all that.

You might do your friend's ex if you really have to, but never get serious.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] , nami nitakolezwa na nini kama hamna viambatanisho? Wakati viambatanisho ndio vinanikoleza?

utakolezwa soon
jiandae tu usiwe mchoyo na uchumba .....
 
It's not right on all levels. To date, Michel'le still get burnt by majority who blame her for ruining Death Row, and Suge-Dre relationship. Even tho she got none to do with all that.

You might do your friend's ex if you really have to, but never get serious.
So u mean I should play him
 
Sio sex mkuu,jamaa anakua na nia yani kuchumbia.
Hapa bestfriends ni wa kike.,mpenzi ni Male.
Tatizo hapa siyo feelings kama watu wanavyoamini iko hivi unapokuwa na rafiki obvious atakuambia matatizo ya mwenzie na wewe utakuwa unasapoti na hadi wanaachana atakuomba ushauri na wewe utajikuta kweli unamkandia na kumchamba mchumba wake kuwa hafai bora aachane naye sasa mwisho wa siku ukiwa naye kimahusiano ni USALITI mkubwa ambao hauhitaji msamaha.
 
Im also dating my bestfriends ex, waliachana kwa sababu zao ambazo real hata wakirudiana it wont work out, waliachana 2011 mie mekuja kuanza date nae 2015 katkat, had hv naandka congei na my friend na rafk zetu wengne bz they see me as a bad friend. Ila binafs sion reason ya kuniona hvo, ukzngatia rafk angu tayar ana new rltnshp ila stl ananchukia.
Mi pia nakuona bad friend, huenda hata kwa wapenzi wa rafikizo ambao hawahajabreak up utajisogeza upite nao..... Sio sawa hata kidogo yule aliashakua shemeji yako itabaki hivo hata wakiachana
Mfano hata jamaa aliemuoa dadako, dada akipass away shemeji atageuka kaka? No please huyo ni shemeji hata iweje
 
umesahau alichosema JK?
kula uliwe.....wewe tu....kula utakula saana mradi kanuni unaifuata 'kula uliwe'
mie mchoyo kwa wachoyo....
Hahaaaaa!! Hata mimi mchoyo kwa wachoyo, kwakuwa umeomba uchumba nipe sababu ya kukupa uchumba.
 
mnapokuwa mabest huwa mnaeleza mambo mengi ikiwemo hata kupeana ushauri na inawezekana wakati wanaachana alikuomba ushauri nawe ukamshauri sasa ukianza nae mahusiano ni wazi atahisi kuwa ulimshauri vibaya au ulikuwa na mawasiliano naye kabla pia inawezekana ex wa best friend wako anakutumia ili kulipiza kisasi
 
Back
Top Bottom