Mahusiano na EX wa Bestfriend

Mahusiano na EX wa Bestfriend

Im also dating my bestfriends ex, waliachana kwa sababu zao ambazo real hata wakirudiana it wont work out, waliachana 2011 mie mekuja kuanza date nae 2015 katkat, had hv naandka congei na my friend na rafk zetu wengne bz they see me as a bad friend. Ila binafs sion reason ya kuniona hvo, ukzngatia rafk angu tayar ana new rltnshp ila stl ananchukia.
 
Mimi sioni tatizo, ukiona anakuchukia achana naye songa mbele na maisha yako, hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu katika haya maisha, yeye alishamaliza ungwe wake awe mvumilivu.
 
Im also dating my bestfriends ex, waliachana kwa sababu zao ambazo real hata wakirudiana it wont work out, waliachana 2011 mie mekuja kuanza date nae 2015 katkat, had hv naandka congei na my friend na rafk zetu wengne bz they see me as a bad friend. Ila binafs sion reason ya kuniona hvo, ukzngatia rafk angu tayar ana new rltnshp ila stl ananchukia.
I personaly dont see the trouble kwa kweli. Its your past..y hurting then? We grow wen we lose friends anywas[emoji12]
 
Endelea mkuu, hakuna shida kbs
 
Endelea mkuu, hakuna shida kbs
Mwanzon ilnipa shda kuwaelezea wanielewe had nkataman kubreak up walikuwa waknpga vijembe fb na kwa watsup lakn nwdays nshamove on hata hawanshughulish.
 
I personaly dont see the trouble kwa kweli. Its your past..y hurting then? We grow wen we lose friends anywas[emoji12]
Mi pia sion ubaya, as long as mi sio sababu ya kuachana kwao, afu mipango ya Mungu sio ya Mwanadamu kama ndio wangu je nimwache kisa alishadate na my best. Im happy kuwa nae inantosha.
 
Asante Mkuu...tunaitaji kaelimu kidogo apa.,mm my ex namgawa kwa yeyote tu
Unamgawa wakati tayari ni ex? Unaongea simple as wewe ndio umeshaopoa shemeji yako.
 
Huyo EX boy friend wa shoga yako sio mimi kweli! Ebu ni PM kwanza!!!?
 
Alikuwa anazunguka tu hadi kajieleza
na wewe mwaka unapita toka nikuombe uchumba naona husomeki....
Hahahaaaa! Tatizo uchumba uliomba mkavu mnooo, haukuwa na viambatanisho.
 
Mi pia sion ubaya, as long as mi sio sababu ya kuachana kwao, afu mipango ya Mungu sio ya Mwanadamu kama ndio wangu je nimwache kisa alishadate na my best. Im happy kuwa nae inantosha.
Kwa kweli...what matters is ua happiness
 
Im also dating my bestfriends ex, waliachana kwa sababu zao ambazo real hata wakirudiana it wont work out, waliachana 2011 mie mekuja kuanza date nae 2015 katkat, had hv naandka congei na my friend na rafk zetu wengne bz they see me as a bad friend. Ila binafs sion reason ya kuniona hvo, ukzngatia rafk angu tayar ana new rltnshp ila stl ananchukia.
Siku wakirudiana utajiskiaje?
 
Back
Top Bottom