J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Nov 19, 2011 #1 Naona kama hili jukwaa linahusiana na blog hii hapa chini: Jitafutie Rafiki / Mchumba wa Kitanzania Angalizo: Usianzishe uhusiano na mtu kwa ajili ya kumfanyia mzaha au kumpotezea muda, tumieni busara na mwombeni Mungu awaongoze katika mahusiano.
Naona kama hili jukwaa linahusiana na blog hii hapa chini: Jitafutie Rafiki / Mchumba wa Kitanzania Angalizo: Usianzishe uhusiano na mtu kwa ajili ya kumfanyia mzaha au kumpotezea muda, tumieni busara na mwombeni Mungu awaongoze katika mahusiano.
jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,988 Reaction score 1,437 Nov 19, 2011 #2 imenikera kwa kuwa music aichezi,jaribu kutafuta programe ambayo music itakubali kuchecheza popote pale na pili mouse inafuatwa na vijimaneno neo.. REKEBISHA..
imenikera kwa kuwa music aichezi,jaribu kutafuta programe ambayo music itakubali kuchecheza popote pale na pili mouse inafuatwa na vijimaneno neo.. REKEBISHA..
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Nov 19, 2011 #3 duh, kimchina changu hata mie kimeshindwa fungua
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Nov 19, 2011 #4 Utandawazi huo.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Nov 20, 2011 #5 Mzee said: Utandawazi huo. Click to expand... Haya mambo ya dot com bana, kila kitu ni deal!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Nov 20, 2011 #6 Mh! kwa vijana wa leo cjui?
J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Nov 20, 2011 Thread starter #7 jamii01 said: imenikera kwa kuwa music aichezi,jaribu kutafuta programe ambayo music itakubali kuchecheza popote pale na pili mouse inafuatwa na vijimaneno neo.. REKEBISHA.. Click to expand... Mheshimiwa mimi sio mmiliki wa hii blog wala sihusiani nayo, nimeiona kwa bahati tu nilikuwa nikisearch kitu kwa kutumia Google engine. Ahsante
jamii01 said: imenikera kwa kuwa music aichezi,jaribu kutafuta programe ambayo music itakubali kuchecheza popote pale na pili mouse inafuatwa na vijimaneno neo.. REKEBISHA.. Click to expand... Mheshimiwa mimi sio mmiliki wa hii blog wala sihusiani nayo, nimeiona kwa bahati tu nilikuwa nikisearch kitu kwa kutumia Google engine. Ahsante