Mahusiano Clouds TV

Mahusiano Clouds TV

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,669
Kuna kipindi cha maigizo kinachorushwa na Clouds TV kinaitwa MAHUSIANO aisee ni kizuri,waigizaji hasa wale wawili(sijawajua majina) but ndo main characters wanajua kuutendea haki uhusika.Ananifurahisha sana yule mwanaume alivyo na wivu kupita kiasi.Kwa ambao mnakifatilia mnakionaje?
 
kipo poa sanaaaa na nakipenda sana wanandoa hao wanaitwa mwijaku & rachel,wanavaa uhusika haswaa na katu hujutii kukitizama..wivu wa huyo mwanaume unanifurahsha sana so nkiwa na stress nacheka sana,napenda kutazama jumapili sa 1.30 usiku marudio yote ya siku 3 yakiwa mfululizo...bila kumsahau clinton na maneno yke.
 
Nilijua tu watu watasema promo,yaani wabongo bwana usikisifie kitu.Mi hao watu hata hawanijui,mimi ni mwananchi wa kawaida tu naelezea hisia zangu kwenye jukwaa la burudan
 
kipo poa sanaaaa na nakipenda sana wanandoa hao wanaitwa mwijaku & rachel,wanavaa uhusika haswaa na katu hujutii kukitizama..wivu wa huyo mwanaume unanifurahsha sana so nkiwa na stress nacheka sana,napenda kutazama jumapili sa 1.30 usiku marudio yote ya siku 3 yakiwa mfululizo...bila kumsahau clinton na maneno yke.

Jamaa lina wivu balaa haha,kama ile ya jana ndo imeniacha hoi
 
Mods mnaposajili majina muwe makini Kende sio scrotum ?
 
Back
Top Bottom