Aisee kupitia wewe umeniganya nibadirike kabisa ile dhana kuwa uislamu nidini yafujo imeanza kuyeyuka taratibu, na je hao wanaowachukua watoto nakuwapeleka porini kisha kuwapa mafunzo yaugaidi hapa nchini nawengine wameenda mbali zaidi wanatoa mafunzo ya karate misikitini hao unawazungumziaje ustaadh Juma?