Mahujaji Waislamu kuvalishwa bangili za kielektroniki

Zilizisabsbishwa Na vurugu la watu kukanyagana Wakati wa mfalme wa Saudi Arabia kuzunguka kaaba Na wafuasi wake Na wengine walikufa kwa ajali
sasa bangili za kielektroniki zitasaidia vipi kukanyagana?
 
Uislamu Unasemaje Juu ya Ugaidi?
Uislamu, Dini ya rehma, hauruhusu ugaidi. Katika Qur-aan, Mwenyezi Mungu Amesema:
“Mwenyezi Mungu hakukatazini kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni
makwenu. Hakika Mwenyezi Mungu Huwapenda wafanyao uadilifu.” (Qur-aan, 60:8)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiwakataza askari dhidi ya kuwaua wanawake na watoto,[ 90 ]na alikuwa akiwashauri:
((...Msisaliti, msizidishe sana, msimwue mtoto mchanga.))” [ 91 ]
Alisema pia:
((Mwenye kumuua mtu aliye katika mkataba na Waislamu, hataipata harufu ya Peponi, ingawa harufu yake hupatikana mpaka katika umbali wa mwendo wa miaka arubaini.))[ 92 ]
Kadhalika, Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amekataza kutoa adhabu ya moto.[93 ]
Kuna wakati aliorodhesha dhambi ya kuua kuwa ya pili miongoni mwa madhambi makubwa,[ 94 ]
hata akatahadharisha hilo juu ya Siku ya Hukumu, (( Kesi za mwanzo kuhukumiwa baina ya watu ka tika Siku ya Hukumu zitakuwa ni zile za umwagaji damu. 95 )) [ 96 ]
Waislamu huhimizwa hata kuwa wakarimu kwa wanyama na wamekatazwa kuwadhuru. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alisema siku moja:
((Mwanamke aliadhibiwa kwa sababu alimweka paka kifungoni mpaka akafa. Kwa minajili hii, aliangamiziwa Motoni. Wakati alipomweka kifungoni, hakumpatia paka chakula wala kinywaji, wala hakumwacha huru ale wadudu wa ardhini.)) [ 97 ]
Pia alisema kuwa kuna mtu alimpatia kinywaji mbwa aliyekuwa na kiu kikali, hivyo Mwenyezi Mungu Alimsamehe madhambi yake, kwa kitendo hiki. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliulizwa: “Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu! Je, sisi hulipwa kutokana na ukarimu wetu kwa wanyama?” Alijibu:
((Kuna malipo kwa ukarimu kwa kila mnyama hai au mwanaadamu.))
[ 98 ]
Zaidi ya hayo, wakati wa kuchinja mnyama kwa ajili ya chakula, Waislamu wameamrishwa kufanya hivyo katika namna inayopelekea hofu ndogo na mateso madogo sana kwa mnyama, kadiri itakavyowezekana. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
((Mnapomchinja mnyama, fanyeni katika njia iliyo bora zaidi. Mchinjaji akinoe kisu chake kwa ajili ya kupunguza mateso ya mnyama.)) [99 ]
Kutokana na mwangaza wa haya na mafundisho mengine ya Kiislamu, kitendo cha kuchochea khofu katika nyoyo za raia wasio na ulinzi, uharibifu wa majengo na mali, ulipuaji mabomu na kuwalemaza wanaume, wanawake na watoto wasio na hatia, yote haya yamekatazwa, tena ni matendo ya kuchukiza kwa mujibu wa Uislamu na Waislamu. Waislamu wanaifuata Dini ya amani, huruma na msamaha, na wengi hawahusiani na matukio ya vurugu ambayo baadhi yamehusishwa na Waislamu. Ikiwa Muislamu mmojawapo atajihusisha na kitendo cha kigaidi, mtu huyo atakuwa katika hatia ya kukiuka sheria za Uislamu.
[90 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1744, na
Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 3015
[91 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1731, na
At-Tirmidhiy, Na, 1408
[92 ]Imeandikwa katika Swahiyh Al-Bukhaariy, Na. 3166, na Ibn Majah, Na. 2686
[93 ]Iko ndani ya Abu Daawuud, Na. 2675
[94 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 6871, na Swahiyh Muslim Na. 88
[95 ]Hii inamaanisha kuua na kujeruhi
[96 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1678, na
Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 6533
[97 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 2422, na
Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 2365
[98 ]Hadiyth hii ya Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) imeelezwa kwa kirefu hapo nyuma. Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim
Na. 2244, na
Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 2466
[99 ]Imeandikwa katika Swahiyh Muslim, Na. 1955 na At-Tirmidhiy,
Na. 1409
 
isis wao wanajifanya sunni lkn kwa yaqini kabisaa mafundisho ya sunni (salaf) ni yenye kulingania uislamu kwa elimu juu ya ufahamu wa wema walotangulia yani mtume na maswahaba zake
 
160530033109_hajj_640x360_bbc_nocredit.jpg

Image captionMahujaji
Saudia inatarajiwa kuwapatia bangili za kielektroniki mahujaji wanaoelekea Mecca kwa Hajj ya mwaka huu ambalo ni kongomano kubwa la Waislamu kutoka kote duniani.

Hatua hiyo inafuatia mkanyagano uliotokea mwaka uliopita ambapo zaidi ya mahujaji 750 wanaaminikia kuuawa huku wengine 900 wakijeruhiwa.

160529154036_hajj_624x351_getty.jpg
Image copyrightGETTY
Image captionMahujaji
Bangili hizo zitakuwa na habari za kibinafsi za kila hujaji pamoja na zile za matibabu kusaidia mamlaka ya Saudia kuwatambua na kuwalinda mahujaji hao.

Takriban kamera 1000 pia zimewekwa.

160529102929_hajj_640x360_ap_nocredit.jpg
Image copyrightAP
Image captionMahujaji
Bangili hiyo ya utambulisho itukuwa na habari muhimu kama vile pasipoti na anwani lakini pia zitatoa habari kwa mahujaji kama vile mda wa ibada pamoja na lugha tofauti kuwasaidia wale wasiozungumza lugha ya Kiarabu wakati huo.

Bangili hizo zitakuwa haziingii maji na zitaunganishwa na programu ya ramani
Bangili za nini sasa wakati waislam habari zao sahihi anazo Allah!
 
Uislamu Unasemaje Juu ya Ugaidi?
Uislamu, Dini ya rehma, hauruhusu ugaidi. Katika Qur-aan, Mwenyezi Mungu Amesema:
“Mwenyezi Mungu hakukatazini kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni
makwenu. Hakika Mwenyezi Mungu Huwapenda wafanyao uadilifu.” (Qur-aan, 60:8)
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiwakataza askari dhidi ya kuwaua wanawake na watoto,[ 90 ]na alikuwa akiwashauri:
((...Msisaliti, msizidishe sana, msimwue mtoto mchanga.))” [ 91 ]
Alisema pia:
((Mwenye kumuua mtu aliye katika mkataba na Waislamu, hataipata harufu ya Peponi, ingawa harufu yake hupatikana mpaka katika umbali wa mwendo wa miaka arubaini.))[ 92 ]
Kadhalika, Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amekataza kutoa adhabu ya moto.[93 ]
Kuna wakati aliorodhesha dhambi ya kuua kuwa ya pili miongoni mwa madhambi makubwa,[ 94 ]
hata akatahadharisha hilo juu ya Siku ya Hukumu, (( Kesi za mwanzo kuhukumiwa baina ya watu ka tika Siku ya Hukumu zitakuwa ni zile za umwagaji damu. 95 )) [ 96 ]
Waislamu huhimizwa hata kuwa wakarimu kwa wanyama na wamekatazwa kuwadhuru. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alisema siku moja:
((Mwanamke aliadhibiwa kwa sababu alimweka paka kifungoni mpaka akafa. Kwa minajili hii, aliangamiziwa Motoni. Wakati alipomweka kifungoni, hakumpatia paka chakula wala kinywaji, wala hakumwacha huru ale wadudu wa ardhini.)) [ 97 ]
Pia alisema kuwa kuna mtu alimpatia kinywaji mbwa aliyekuwa na kiu kikali, hivyo Mwenyezi Mungu Alimsamehe madhambi yake, kwa kitendo hiki. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliulizwa: “Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu! Je, sisi hulipwa kutokana na ukarimu wetu kwa wanyama?” Alijibu:
((Kuna malipo kwa ukarimu kwa kila mnyama hai au mwanaadamu.))
[ 98 ]
Zaidi ya hayo, wakati wa kuchinja mnyama kwa ajili ya chakula, Waislamu wameamrishwa kufanya hivyo katika namna inayopelekea hofu ndogo na mateso madogo sana kwa mnyama, kadiri itakavyowezekana. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
((Mnapomchinja mnyama, fanyeni katika njia iliyo bora zaidi. Mchinjaji akinoe kisu chake kwa ajili ya kupunguza mateso ya mnyama.)) [99 ]
Kutokana na mwangaza wa haya na mafundisho mengine ya Kiislamu, kitendo cha kuchochea khofu katika nyoyo za raia wasio na ulinzi, uharibifu wa majengo na mali, ulipuaji mabomu na kuwalemaza wanaume, wanawake na watoto wasio na hatia, yote haya yamekatazwa, tena ni matendo ya kuchukiza kwa mujibu wa Uislamu na Waislamu. Waislamu wanaifuata Dini ya amani, huruma na msamaha, na wengi hawahusiani na matukio ya vurugu ambayo baadhi yamehusishwa na Waislamu. Ikiwa Muislamu mmojawapo atajihusisha na kitendo cha kigaidi, mtu huyo atakuwa katika hatia ya kukiuka sheria za Uislamu.
[90 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1744, na
Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 3015
[91 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1731, na
At-Tirmidhiy, Na, 1408
[92 ]Imeandikwa katika Swahiyh Al-Bukhaariy, Na. 3166, na Ibn Majah, Na. 2686
[93 ]Iko ndani ya Abu Daawuud, Na. 2675
[94 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 6871, na Swahiyh Muslim Na. 88
[95 ]Hii inamaanisha kuua na kujeruhi
[96 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1678, na
Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 6533
[97 ]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 2422, na
Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 2365
[98 ]Hadiyth hii ya Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) imeelezwa kwa kirefu hapo nyuma. Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim
Na. 2244, na
Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 2466
[99 ]Imeandikwa katika Swahiyh Muslim, Na. 1955 na At-Tirmidhiy,
Na. 1409
Asante kwa maelezo yako. He no kwa nn sunni na shia wamekua maadui hata mpaka kufika kuuana wakati Qur-aan imekataza...mfano Syria na iraq
 
Mimi nimepitia makundi mengi sana ktk uislamu mpk mda huu nimepata elimu ya dini kiasi cha kutambua makundi mapotofu na upotofu wao ndani ya uislamu!! kwa hakika mwenye kushikamana na mafundisho sahihi ya uislamu kamwe hawezi kuwa gaidi
Bangili za nini sasa wakati waislam habari zao sahihi anazo Allah!
.....hizo ni kama watch zenye kuhifadhi taarifa muhimu kwa hujaji ikuwemo ramani ya kumuongoza ktk mji huo wa ibada!! kutokana na mikakati ya serikali ya Irani ya kutaka kuua watu ktk hijja serikali ya saudia imeongeza ulinzi,camera pamoja na vifaa kama hivyo hujaji anaonekana pale alipo je hapo kuna ubaya Mkuu?
 
Mimi nimepitia makundi mengi sana ktk uislamu mpk mda huu nimepata elimu ya dini kiasi cha kutambua makundi mapotofu na upotofu wao ndani ya uislamu!! kwa hakika mwenye kushikamana na mafundisho sahihi ya uislamu kamwe hawezi kuwa gaidi
.....hizo ni kama watch zenye kuhifadhi taarifa muhimu kwa hujaji ikuwemo ramani ya kumuongoza ktk mji huo wa ibada!! kutokana na mikakati ya serikali ya Irani ya kutaka kuua watu ktk hijja serikali ya saudia imeongeza ulinzi,camera pamoja na vifaa kama hivyo hujaji anaonekana pale alipo je hapo kuna ubaya Mkuu?
Ah! Eee banaee, ajuaye Mola
 
Hakuna ubaya mkuu lkn Ustaadhi Juma mbona uko tofauti sana na waislam ninaowajua mm? Uko humble sana kiongozi hongera sana
 
.....waislamu wengi hawafahamu dini yao na ndo maana wanaingia ktk makundi mapotofu!! kabla sijaanza kutafuta elimu ya dini nlikuwa na misimamo ya chuki sana ila baada ya kupita kama miaka mitatu hivi nikiwa darasani kusoma dini ndo nikajua kuwa uislamu wakweli ulivyo! kwa hakika ili uwe muislamu sahihi lzm uwe sunni na lzm upinge makundi mapotofu iliwemo alshabab,alqaeda,boko haram,Isis na wengineo wote
 
mfano mzuri osama bin laden hana elimu ya uislamu!! ila kwa kuwa yy ni muarabu basii akiongea kiarabu watu wanajua dini kumbe yeye ni mwenye kuleta maangamizi ktk uislamu
 
Back
Top Bottom