Mahujaji Waislamu kuvalishwa bangili za kielektroniki

Ustaadhijuma usipotoshe umma washia sio waislamu???
kwani we ulikuwa hujui Mkuu? wao wanajinasibisha na uislamu lkn wao si waislamu!!
sababu zinazopelekea wao kutokuwa waislamu
1:wanaitikadi kuwa mtume ataingia Motoni! hii ni itikadi inayomtoa mtu moja kwa moja ktk uislamu
2:wanawakufurisha maswahaba waongofu wao wanadai hao ni makafiri
3:wanadai kuwa wao hawamkubali mola alomtuma Muhammad kuwa mtume
4:wanaitikadi kuwa watu wote wenye ngozi nyeusi tumelaaniwa na tukifa ni lzm tuingizwe motoni kwanza kisha mengine yafuate
5:mafundisho yakishia yapo kinyume kabisaa na uislamu mfano @ wanaingilia wake zao kinyume na maumbile na wanasema jambo hili linafaa na ni starehe kwao (b) wanamsingia mke muongofu wa mtume (mama Aisha radhwiyallahu anha) kuwa amezini (c) wao wanaoa wake Tisa badala ya wanne (d) wanaibada za kujidhuru kwa kujichoma visu jambo ambalo lipo kinyume kabisaa.....sabab nnazo nyingi zakusema kuwa mashia sio waislamu nadhani nkiorodhesha zote ntatumia mwezi na sitazimaliza ...
 
Ahsante kwa Ilimu pana sheikh wangu
 
Du nimeona Ustaadhi inatisha kweli kweli hivi kuna Mungu wakweli hapo jamani?
 
Nimeshapata darasa tosha kabisa sheikh hawa watu niwakuwakalia mbali sana aisee
 
Hatari sana,naona na watoto nao wamo
Tanzania pia wapo na hizi ibada wanazifanya Sana tu!! temeke karibia na chuo cha bandari wana majengo pale wanajiita BILALI kwa hapa Tanzania kiongozi wao ndo huyo sheikh alomtaka magufuri atende usawa anaitwa jalala
 
Back
Top Bottom