nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,621
- 829
Kafarahivi kwa nini kila mwaka lazima watu wafe?
Hakuna mbinu za ziada kuzuia vifo?
ni bora kungekuwa na watu wachache kuliko kuwa na idadi kubwa ambayo inaweka uhakika wa uwezekano wa watu kufa.
Sent using Jamii Forums mobile app