Mahudhurio ya Madame B yamepungua sana

Tangu ampate Chimbuvu, mahudhurio ya huyu mdada Madame B yamepungua sana humu jf kwa zaidi ya asilimia 50. Nina wasiwasi na huyu jamaa kwamba pamoja na ukongoman wake atakuwa na asili ya uarabu ya kutowaruhusu wanawake kujichanganya. Au labda ni utimilifu wa ile methali isemayo atafutaye akipata hutulia. So madame b alitafuta humu jf akampata chimbuvu sasa ametulia. Au labda ameshaanza kula udongo na kutamani vitu vyenye uchachu uchachu.
Chimbuvu ni hatari sn kwa chitchat, mimba ya wiki tu imemfanya Madame B ashindwe kuripoti
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom