Kuna saa mkuu kuna kuwa na point kidogo, kama report ya CAG % kubwa ya wabunge waliongea point asee.Una moyo kweli, kwa bunge lipi la kufuatilia? Hili hili la Tulia?
Unashauri mawaziri watokane kwa utaratibu upi?Kwa minajili ya tija, ukitoa Waziri Mkuu, mawaziri wote wasitokane na Wabunge. Serikali itabinywa inavyopaswa.
Sasa wanalindana na kubebana
Rais apendekeze raia wanaofaa kuwa mawaziri na wawe wamefikia levels za serior officials kama watatoka serikalini na wale wasio serikalini wawe na impacts zinazoshikika. Kisha majina yepelekwe Bungeni kwa vetting na usaili kabla hawajapewa Uwaziri.Unashauri mawaziri watokane kwa utaratibu upi?
Unaionaje duni Bunge linaloongozwa na Spika wa Bunge la Dunia?🤣🤣Una moyo kweli, kwa bunge lipi la kufuatilia? Hili hili la Tulia?
Tupe mfano wa nchi gani ya kiafrica iliyotawaliwa na uingereza.Kwa minajili ya tija, ukitoa Waziri Mkuu, mawaziri wote wasitokane na Wabunge. Serikali itabinywa inavyopaswa.
Sasa wanalindana na kubebana
Unaionaje duni Bunge linaloongozwa na Spika wa Bunge la Dunia?🤣🤣
Tulia ni nani sasa huko Duniani! Hukusikia kuna nafasi amepataga huko mbele?Hakuna bunge la Dunia. Labda ungesema UN General Assembly, kidogo ingekuja.
Ile zima moto tu mkuuKuna saa mkuu kuna kuwa na point kidogo, kama report ya CAG % kubwa ya wabunge waliongea point asee.