Mahubiri ndani ya mabasi



Mathews 28:18-20
 
Siku za mwisho wa nini? mtu huyo alitakiwa kuadhibiwa kwa kukirihi abiria na kuingilia utulivu wao.
Bahati mbaya Bongo hakuna kufuata sheria.

Mkuu, habari za masiku kaka, long time no see.
 
Mwisho tutaanza kusikia mihadhara na mabishano ya kidini kwenye mabasi.
 
kutoa sadaka si lazima ni hiari ya mtu mwenyewe...na hizo injili plus maombi ya kuombea safari yanasaidia sana kuepukana na maajali ya barabaran waachen watende kazi ya Bwana.. i support them...
 
Tena mabasi yanayoanzia Tunduma/Mbeya hii kitu imekuwa common sana!
 
Mwisho tutaanza kusikia mihadhara na mabishano ya kidini kwenye mabasi.
Kweli kabisa ndiko tunakoelekea.......
Mimi nadhani inabidi wamiliki wa haya mabasi wakawapiga marufuku hao wahubiri kuingia katika mabasi yao, kwanza wanasafiri bure!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…