Mahouse girl jamani

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
WAKUU NATUMAINI MKO SALAMA NA MMEJIANDAA VYEMA NA PASAKA ,WAKUU NAOMBENI KUULIZA HIVI KWANINI WANAUME WANAPENDA KUTEMBEA NA HOUSE GIRL WAKE( beki tatu) NDOA NYINGI ZINAVUNJIKA KWA SABABU YAO INAFIKA WAKATI MTU ANAMUACHA MKEO ANAOA HOUSE GIRL, tuwe makini jamani kama mtu hawezi ishi nao bora achukue hata ndugu wa karibu amuweke nyumbani kwake amsaidie . PASAKA NJEMA WANA MMU.
 
Labda kwa sababu bosi (mwanawake) anamfanya HG kuwa msaidizi mahsusi katika kila kitu na akishajua ameelewa anaachiwa yeye.
 
Wake zetu mda mwengine wanajisahau kwenye majukumu ya ndani
Mf
Kila idara nyeti anamuachia beki tatu kama walivyonena wenzangu sasa hapo ndoa kwa nini isivunjike kwa waliokosa uvumilivu
 
uma.laya wa mwanamme tu.

Haiwezekani afanye kosa mwanamme iwe eti sababu ya mke kafanya nini sijui.

Je kama ni binti yako anamsaidia mama yake kukuwekea maji ya kuoga utamuoa?

Mbaf tu kudu na mtu anayeishi chini ya paa lako.
 
Hiyo ni tabia ya mtu tu kutokuwa na heshima na nidhamu. Mwanaume anaetembea na hgal hashindwi kutembea na mtoto wa dadake. Hana tofauti na mwanamke anaetembea na hausiboi, mlinzi ama dereva wa nyumbani kwake.
 
Mahouse girl si ni WASAIDIZI WA KAZI ZA NYUMBANI?? kwani hizo zingine si kazi?? MSIWALAUMU KAMA MNASHINDWA KUTEKELEZA WAJIBU WENU IPASAVYO.MME ANAKUJA,ANATENGEWA CHAKULA NA HOUSE GIRL KILA SIKU WAKATI MKEWE KALALA-UNATEGEMEA NINI WAKATI VYAKULA VIPO VINGI??
 
Katoto umekatoa kijijini baada ya muda kamekua kasafi kamenona haswa,kitumbua kina harufu ya kuku wa kienyeji weee acha tuu pia hakuna gharama ya gesti wala kufanya appointment unajisevia tuu
 
mwanamke yupo bize kupindukia had anashindwa kutimiza wajibu wake
 
hakuna lolote linalojustify hicho kitendo

NI UMALAYA TU WA WANAUME

kama kutimiza majukumu basi wake zenu wangeolewa na mahausi boi....


NA MWANAUME ANAYETAFUNA HADI HG CHUNGA ANAWEZA LAMBA HATA WANAE
 
...Ni tabia za Uasherati tu hakuna kingine...
Mtu kama huyo jaribu kumuuliza kama mkewe akilala na House Boy atajisikiaje, utaona tu macho yatavyomtoka kama mjusi aliyebanwa na mlango
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…