Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,640
Mkuu hii ndio interview yako ya kwanza pia ikabuma.
Kweli umetoka mbali unapambana na show zako
Kweli umetoka mbali unapambana na show zako
Niliongea nae ila nadhani mumewe au ha..wara yake hakuwa tayariInamaana huyu mtu, alitaka (alidhamiria) kufanya Interview na Mahondaw bila ya mawasiliano kabla, vilevile inaonekana akuomba ruhusa kwa Smart911....!!?
Ni aibu kubwa na fedheha kwa mr Larry King...!!
Sent using Jamii Forums mobile app