chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Haya hapa ni mahojiano na mr.solex kabla hajachukua kiti kikubwa
hapa alikuwa anaelezea siri ya mafanikio yake ya uchapa kazi, ndoto zake na role model wake, pamoja na kutoa burudani baada ya kipindi, ukimsikiliza utamuelewa ni kwa nini anafanya anayofanya sasa kwa kuwa baadhi yetu hatumuelewi