Mahmoud Ahmadinejad Rais wa zamani wa Iran naye auawa

Iran kuna mtu anawauza.. kuna msaliti ndani yao
😁Sini wale mnao washangiliaga kwa kubinua vijambio juu kuwa wamesilimu .....😁 hakuna mkristo aliye isoma injili kisha akamfuata Muhammad na uislamu...kwa sababu injili ni bora mara 1000 ya msahafu na yesu ni muhadilifu mara 1000 ya Muhammad....ukiona mkristo kaacha ukristo na kuwa muislamu basi tambua kuwa huyo kuna maslai ya kidunia anayatafuta...siyo dini ya uislamu...waislamu tumieni akili tatizo mmezidi uanithi wa akili ...yani nyinyi mle daku saa 11 asubuhi kisha mnawaambia wasio waislamu kule Zanzibar wasile chakula kama nyinyi 🙄 kwani hao wasio waislamu walikuwa daku? Funga ya wazanzibar imehalibika kwa kufanya hivyo ....funga njema na ya haki ni ile iliyo andikwa kwenye torati na injili ..
WAISLAMU WAISLAMU WAISLAMU TUMIENI AKILI KITENDO WANACHOFANYA WAZANZIBAR HATA MUHAMMAD ANGEKUWEPO LEO ANGEWAAMBIA KUWA FUNGA ZAO NI BATILI ...UKIMSHURUTISHA ASIYE MUISLAMU KUTOKULA KWA SABABU WEWE UMEFUNGA MOJA KWA MOJA WEWE NI KAFIRI WA KIISLAMU NA FUNGA YAKO NI BATILI KWA MUJIBU WA DINI. adriz FaizaFoxy Al-mukheef Bwana Utam Jagina Covax OHB11 ... swali kwanini ni haramu kushurutisha asiye muislamu kufunga naweza kutoa ilimu maana mimi naujua uislamu kuliko MUHAMMAD.
 
😁Sini wale mnao washangiliaga kwa kubinua vijambio juu kuwa wamesilimu .....😁 hakuna mkristo aliye isoma injili kisha akamfuata Muhammad na uislamu...kwa sababu injili ni bora mara 1000 ya msahafu na yesu ni muhadilifu mala 1000 ya Muhammad....ukiona mkristo kaacha ukristo na kuwa muislamu basi tambua kuwa huyo kuna maslai ya kidunia anayatafuta...siyo dini ya uislamu...waislamu tumieni akili tatizo mmezidi uanithi wa akili ...yani nyinyi mle daku sa 11 asubuhi kishq mnawaambia wasio waislamu kule Zanzibar walile chakula kama nyinyi 🙄 kwani hao wasio waislamu walikuwa daku? Funga ya wazanzibar imehalibika kwa kufanya hivyo ....funga njema na ya haki ni ile iliyo andikwa kwenye torati na injili ..
WAISLAMU WAISLAMU WAISLAMU TUMIENI AKILI KITENDO WANACHOFANYA WAZANZIBAR HATA MUHAMMAD ANGEKUWEPO LEO ANGEWAAMBIA KUWA FUNGA ZAO NI BATILI ...UKIMSHURUTISHA ASIYE MUISLAMU KUTOKULA KWA SABABU WEWE UMEFUNGA MOJA KWA MOJA WEWE NI KAFIRI WA KIISLAMU KWA MUJIBU WA DINI. adriz FaizaFoxy Al-mukheef Bwana Utam Jagina Covax OHB11 ... swali kwanini ni haramu kushurutisha asiye muislamu kufunga naweza kutoa ilimu maana mimi naujua uislamu kuliko MUHAMMAD.
Mbona haya mambo huku Zenji hakuna aisee umeyatoa wapi? Au ndo stori za vijiweni umebeba umeleta huku JF
 
Sio snitch ni technology, wana satellites za high precision na artificial intelligence, ni kama kumvalisha mbwa kengere, kwa viongozi wa Iran wana picha zao karibu wote, wana feed kwenye face recognition application na technology nyingine ili kupata digital copy ID yako, then high precision camera za satellites na artificial intelligence for analysis zinapewa kukutafuta, waki zoom Tehran au popote kama uko around digital copy yako itatoa siri, wakishakuweka kwenye target huwezi kuchomoka tena na watakufuatilia every seconds of your life for life wakiamua, ndio maana umeona wanapiga viongozi wote wa Iran anytime wanavyotaka ni kwa sababu wanajua walipo all the time, hata wewe kama wana picha yako au iko online wakikutaka watakupata 100%, na nina uhakika wana more advanced technology kuliko hii
Umeliweka vizuri hili suala la Iran
 
Mbona haya mambo huku Zenji hakuna aisee umeyatoa wapi? Au ndo stori za vijiweni umebeba umeleta huku JF
Shida yenu waisiharamu ni unafiki...mna halibu funga zenu kwa kupotoshwa na mashehe ubwabwa wasio jua hata dini yao . Mimi siyo muislamu ila naweza kukuonyesha ni kwa nini ukimlazimisha asiye muislamu kutokula kwa sababu wewe umefunga basi funga yako inakuwa haramu na batili (imehalibika)..kama mna bisha kuwa funga za wazanzibar siyo batili someni hii hadithi kwa kutumia akili mtajua ninacho eleza
💥👉HADITHI HII INAPATIKA KATIKA SAHIH BUKHAR...Kitabu cha 60....hadithi ya 3463, na katika SAHIL MUSLIM, kitabu cha 49, hadithi ya 4935 adriz FaizaFoxy Bwana Utam Al-mukheef @jaginq Covax Malaria 2 OHB11
 
😁Sini wale mnao washangiliaga kwa kubinua vijambio juu kuwa wamesilimu .....😁 hakuna mkristo aliye isoma injili kisha akamfuata Muhammad na uislamu...kwa sababu injili ni bora mara 1000 ya msahafu na yesu ni muhadilifu mara 1000 ya Muhammad....ukiona mkristo kaacha ukristo na kuwa muislamu basi tambua kuwa huyo kuna maslai ya kidunia anayatafuta...siyo dini ya uislamu...waislamu tumieni akili tatizo mmezidi uanithi wa akili ...yani nyinyi mle daku saa 11 asubuhi kisha mnawaambia wasio waislamu kule Zanzibar wasile chakula kama nyinyi 🙄 kwani hao wasio waislamu walikuwa daku? Funga ya wazanzibar imehalibika kwa kufanya hivyo ....funga njema na ya haki ni ile iliyo andikwa kwenye torati na injili ..
WAISLAMU WAISLAMU WAISLAMU TUMIENI AKILI KITENDO WANACHOFANYA WAZANZIBAR HATA MUHAMMAD ANGEKUWEPO LEO ANGEWAAMBIA KUWA FUNGA ZAO NI BATILI ...UKIMSHURUTISHA ASIYE MUISLAMU KUTOKULA KWA SABABU WEWE UMEFUNGA MOJA KWA MOJA WEWE NI KAFIRI WA KIISLAMU NA FUNGA YAKO NI BATILI KWA MUJIBU WA DINI. adriz FaizaFoxy Al-mukheef Bwana Utam Jagina Covax OHB11 ... swali kwanini ni haramu kushurutisha asiye muislamu kufunga naweza kutoa ilimu maana mimi naujua uislamu kuliko MUHAMMAD.
Kwa akili zako hizi wewe bado sana kuzungumzia mambo ya dini na mimi, kama ni mpira na mengineyo sawa...

Una mihemko kwenye dini, huna tofauti na hao wanaofunga na kukataza wenzao wasile mchana.
Huna staha, huchagui kauli ya kuzungumza..
Mtu yoyote ambae dini anaichukulia kwa mihemko, awe muislam ama mkristo siwezi zungumza nae.. hata iwe mpira akiwa na mihemko pia, siwezi zungumza nae.
 
Hii habari inaweza kuwa uongo. Hata wakati wa vita ya siku 12 walisema kauawa na kumbe hakuwa ameuawa
Paw saidie kuverify hii habari
 
Kwa akili zako hizi wewe bado sana kuzungumzia mambo ya dini na mimi, kama ni mpira na mengineyo sawa...

Una mihemko kwenye dini, huna tofauti na hao wanaofunga na kukataza wenzao wasile mchana.
Huna staha, huchagui kauli ya kuzungumza..
Mtu yoyote ambae dini anaichukulia kwa mihemko, awe muislam ama mkristo siwezi zungumza nae.. hata iwe mpira akiwa na mihemko pia, siwezi zungumza nae.
Mpira 🙄 ulisha wai kusikia mimi nashabikia mpira au naangalia mpira 🙄 ...kwenye dini na logic na sayansi na maths nk mimi ndiyo genius....tumia logic hivi mtu uki iba pesa kisha ukaenda kutoa sadaka unapata thawabu ? Ni sawa na hiyo ya kuwashurutisha wasio waislamu kutokula kisha ukasema funga yako ni halali ...
 
Wacha porojo siku hizi kina adriz na @Al-mukheef ni makini sana na wajuzi kwa sababu ya kusoma mambo ninayo andika hapa jf kuhusu dini ...wanajua mapengo ya dini zao na zisizo zao .. naujua uislamu kuliko MUHAMMAD na naujua ukristo kuliko mkisto yoyote hapa JF ...THE GREAT GENIUS OF ALL TIME.
 
Mpira 🙄 ulisha wai kusikia mimi nashabikia mpira au naangalia mpira 🙄 ...kwenye dini na logic na sayansi na maths nk mimi ndiyo genius....tumia logic hivi mtu uki iba pesa kisha ukaenda kutoa sadaka unapata thawabu ? Ni sawa na hiyo ya kuwashurutisha wasio waislamu kutokula kisha ukasema funga yako ni halali ...
Umereply mara 2..
Hakuna mtu genius akawa na lugha isiyo na staha kama wewe, akawa na mihemko ya dini kama wewe.

Nimekwambia "kwa akili zako hizo, huna tofauti na hao waliofunga na kukataza wenzao wasile mchana"
Nyie wote ni wapuuzi... mijitu ya kupuuziwa tu
 
Tatizo naelimisha watu msio na akili lugha mnayo ielewa ni hiyo hiyo...
 
Jamaa alishawahi kushikwa na machale kwamba walijichanganya wenyewe!!.
 
Attachments

  • IMG-20241006-WA0008.jpg
    IMG-20241006-WA0008.jpg
    48.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom